Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,050
- 126,079
Hahahaaa. Hivyo bangi si lazima ile kitu yenye moshi. DuuuhAmini nakwambia wewe muangalie Canavaro mdomoni utaona mdomo mweusi hata akiwa anacheza mpira anacheza kihunihuni sasa zile sio bangi?