50 highest paid players in world football | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50 highest paid players in world football

Discussion in 'Sports' started by Semilong, Feb 17, 2010.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Portuguese marketing agency Futebol Finance has published a list of the top 50 footballer's salaries this season and the results are genuinely eye-opening.
  It's no real surprise that Cristiano Ronaldo is officially the highest paid footballer in the world , but something of a shock to realise there are 19 players pulling in a bigger salary than Wayne Rooney.
  The financial muscle of Manchester City is laid bare by the presence of no less than six of their recent signings on the list (seven if you include Patrick Vieira, who was still at Inter Milan when the survey was put together).
  Chelsea are the Premier League's biggest payers though, with seven players in the Top 50.
  Manchester United are represented by four players, Liverpool two and Arsenal just the one (Andrey Arshavin, laughing - quite literally - all the way to the bank).
  The full list is as follows.

  Futebol Finance's 50 highest paid players in world football
  1 Cristiano Ronaldo (Real Madrid, £11.3million)
  2 Zlatan Ibrahimovic (Barcelona, £10.4million)
  3 Lionel Messi (Barcelona, £9.1million)
  4 Samuel Eto'o (Internazionale, £9.1million)
  5 Kaka (Real Madrid, £8.7million)
  6 Emmanuel Adebayor (Manchester City, £7.4million)
  7 Karim Benzema (Real Madrid, £7.4million)
  8 Carlos Tevez (Manchester City, £7million)
  9 John Terry (Chelsea, £6.5million)
  10 Frank Lampard (Chelsea, £6.5million)


  11 Thierry Henry (Barcelona, £6.5million)
  12 Xavi (Barcelona, £6.5million)
  13 Ronaldinho (AC Milan, £6.5million)
  14 Steven Gerrard (Liverpool, £6.5million)
  15 Daniel Alves (Barcelona, £6.1million)
  16 Michael Ballack (Chelsea, £5.6million)
  17 Raul (Real Madrid, £5.6million)
  18 Rio Ferdinand (Manchester United, £5.6million)
  19 Kolo Toure (Manchester City, £5.6million)
  20 Wayne Rooney (Manchester United, £5.2million)

  21 Robinho (Manchester City, £5.2million)
  22 Iker Casillas (Real Madrid, £5.2million)
  23 Victor Valdez (Barcelona, £5.2million)
  24 Frederic Kanoute (Sevilla, £5.2million)
  25 Deco (Chelsea, £5.2million)
  26 Didier Drogba (Chelsea, £4.8million)

  27 Gianluigi Buffon (Juventus, £4.8million)
  28 Francesco Totti (Roma, £4.8million)
  29 Luca Toni (Roma, £4.8million)
  30 David Villa (Valencia, £4.8million)
  31 Arjen Robben (Bayern Munich, £4.8million)
  32 Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich, £4.8million)
  33 Ashley Cole (Chelsea, £4.8million)
  34 Fernando Torres (Liverpool, £4.8million)
  35 Gareth Barry (Manchester City, £4.8million)

  36 Patrick Vieira (Internazionale, £4.8million)
  37 Charles Puyol (Barcelona, £4.3million)
  38 Andres Iniesta (Barcelona, £4.3million)
  39 Sergio Aguero (Atletico Madrid, £4.3million)
  40 Andreas Pirlo (AC Milan, £4.3million)
  41 Willy Sagnol (Bayern Munich, £4.3million)
  42 Frank Ribery (Bayern Munich, £4.3million)
  43 David Beckham (AC Milan, £4.3million)
  44 Wayne Bridge (Manchester City, £4.3million)
  45 Lassana Diarra (Real Madrid, £4.3million)
  46 Dimitar Berbatov (Manchester United £4.1million)

  47 Andrei Arshavin (Arsenal, £4.1million)
  48 Nicolas Anelka (Chelsea, £4.1million)
  49 Ryan Giggs (Manchester United £4.1million)

  50 Alessandro Del Piero (Juventus, £4.1million)
  link
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Hapa sasa ndo napoonaga wazungu wana upungufu wa akili kichwani.

  Kuna mchezaji anaitwa Ronaldo de Assis Moreirra, huyu muheshimiwa ni noma.
  Ana akili ya mpira, ana skills, ana spidi, ana msaada kwa timu, anafunga, anatengeneza, anasherehesha mpk wachunguzi wa maswala ya soka walisema kama mpira ungekuwa unaongea basi kila mara ungeomba upelekwe kwa huyu mtu.

  Huyu mtu FIFA wanataka wabandike picha zake kwenye kila mpira unaochezewa ktk ligi zinazotambuliwa na shirikisho hilo ulimwenguni kote.

  Pia kuna mamilioni ya watu Duniani ukiwemo wewe unaesoma thread hii mko tayari kwenda kumuabudu kama akiamua kuanzisha Dini.

  Sasa eti leo hii anabeba 6.5m halafu jitu kama Adebayol linachukua 7.4m...kha?
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Hilo Adebayol eti linakamatia nafasi ya 6, wakati halijawahi kubeba world cup, premiership, FA wala Carling...na halijawahi kupewa tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.

  Sasa huyu Muheshimiwa yeye kabeba world cup, chmps league, La Liga, kombe la mfalme, na pia keshawahi kuwa mwanasoka bora wa Dunia....

  yaani tofauti ya Adebayol na huyu Muheshimiwa ni ya mbali saaana.
  Ni sawa na Mbingu na Ardhi.
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,986
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180

  Acha kukurupukaaaa...
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Juzi Academia walikuwepo sun cirro, vp sheikh mbona hukutupa ripoti?
  Au ulikuwa kwenye Eda?
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,986
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Aaah wapi kule siendi tena ...Hakuna FIRE EXIT... Sikuwa Eda nilikuwa kwenye period...
   
 7. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6,820
  Likes Received: 1,672
  Trophy Points: 280
  kaka kuna kitu inaitwa team sport you can be as clever as jamal o'moon au dribbler like mike bibby lakini what they are looking for ni basic skills wenzetu.

  Hao wote ni watu ambao wanashaini kutokana na umuhimu wanaopewa na makocha Ronaldo doesnt have the same priveledge ya kuomba mpira anapoutaka yeye tena kama alivyokua Man U. Look at Roonery now if he is not voted the best in europe msimu huu.

  Striker anaangaliwa on what he can deliver na ligi za mpira zipo tofauti huyo jamaa unae mpamba anaweza kwenda ligi nyingine akachemsha. Look at robinho sasa amerudi brazil ana namba tena Man City hawa jamaa hawamjui hata belamy huko brazil. Hila Robinhio akuwa na pace ya ku mudu premiership kuna sababu chungu mtele understand your sports first and how it is played.

  Kila ligi inadizaini yake ambayo mchezaji anaweza mfano UK chenga tupu utakaa ubao mjomba.
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu jamaa ninaemzungumzia hapa keshatikisa france league one, La liga na sasa yupo Serie A...

  Huyu jamaa sasa hivi anachofanya ni kuwasuta mahasidi waliokuwa hawaishi kumtangaza kuwa kafulia kisoka.

  Anawasuta kwa vitendo sheikh, sio kwa mipasho.

  Huyu jamaa hakika ni mbarikiwa
   
 9. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6,820
  Likes Received: 1,672
  Trophy Points: 280
  kaka sijakataa kama jamaa ni mkali. Hila ligi zipo tofauti henri alikua juventus na akushaini kama trezegeut. Hila mambo aliyoyafanya arsenal jamaa wakasema kama wangejua alikua ana potential hile wasinge muuza kamwe.

  henri huyo huyo barcelona msimu wa kwanza alikuwa anakaa ubao. Msimu uliofuata under the new manager henri, eto'o na messi alone wali combine almost 100 goals along the way the way la liga title na champions league.

  Leo hii tena kocha mwingine eto'o is gone na henri namba yake si ya uhakika. lakini barcelona are still top of la liga ndio uelewe kila kocha ana namna yake.

  Point ni kwamba hawa wote ni ma superstar uwezi amini ukimiuona DB akifanya manjonjo na mpira utashangaa skills zake ila ligi anazocheza azi ruhusu njonjo hizo.

  Kwa hivyo kila kocha anajaribu kutumia wachezaji ambao wako best to suit league type of play with his formation lassgna diarra ali shaini france lakini akuwa na namba arsenal wala chelsea look at him in madrid au hata robinho before he went to germany to start his european quest kwao alikua ana chenga mpaka kipa kupiga bao. Ronaldinho aliuzwa at the peak of his career kisa atimilizi managers style of play.
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Mkuu mpira ni biashara kwa hiyo being the better player does not necessarily equate to being better paid. Wao wanaangalia jinsi gani investement yao(meaning the player) ata rudisha gharama. In this sense the most marketable players are usually the better paid players. So it's a popularity thing.

  Another factor ni team ya mchezaji. Mchezaji wa timu ndogo hawezi kulipwa kama mchezaji wa timu kubwa kama Madrid hata kama yeye ni mchezaji mzuri zaidi.


  Soccer is a business my friend. Don't think everything has to do with what's going on on the football pitch.
   
 11. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe vipi wewe, kulipwa mshahara mkubwa au mdogo inatokana na mapatano ya mkataba, kama agent wake alistrike dili vizuri lazima achukue pesa nzuri. Wewe huoni hata hapo Bongo kwenye makampuni hasa ya migodi wazungu mishahara ya inaanzia USD 30,000.00 kwenda na elimu ya maana hawana magraduate wa kitanzania wanacheza na Tshs 1M to 3M. Fikiria na tafakari
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ade binafsi namkubali. Kwanza ni young 25-26 ani. Bado ana nafasi ya kuimprove. Huezi kupima umahiri wa mchezaji kwa vikombe kama World Cup. Huo utakua uonevu. Wakumbuka George Opong Weah alivyokuwa Mchezaji wa dunia, Liberia haikuwahi na mpaka wa leo haijanusa World Cup.

  Ade ni mchezaji mzuri, ila Wenger akaona mshahara mkubwa na ubahili wake akaamua kumuuza, lakini wakati huo akimpa contract ya mshahara kama huo injury prone Van Persie, na matunda yake tunayaona. Na hili ndio linalomfanya Fab afikirie mara mbili akili za Wenger. Ukiangalia last season, Fab alishajenga uelewano flani hivi na Ade, ambao ulileta mabao ya kulazimisha ambayo ndio hasa siri ya vikombe (Refer mechi kama ya Vilareall ile bicycle/scissor kick, au return leg EPL vs Man City.)

  Kila mchezaji ana matatizo yake, kitu muhimu tu ni kocha kuangalia atamtumiaje mshambuliaji ili magoli yapatikane. The same applies to Drogba, baada ya vagi lile la kutolewa na Barca na kufungiwa na UEFA, niliwaambia watu humu kua he is one of the African finest na Scolari alikuwa akimbania tu, na watu humu wakabisha. Uzuri maprofesa wa ukweli akina Hiddink na Ancelloti wanayo macho ya kiprofesa ya kuona visivyoonekana, na unaona mambo ya Drogba ktk mechi chini Hiddink na sasa Anceloti. Kwa kifupi anashine (waulize Arsenal..he. he)

  Kwa hiyo vigezo vya kipato vinaeza endana na potential ya mchezaji kwa namna flani, na pia mambo ya mikataba. Inabidi kubeba fuba la maana inabidi ajue 'kulia kidogo'.
   
 13. S

  Somi JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 628
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  hii mishahara mikubwa wangetoa kwa wale watu wanaofanya shughuli ya ukweli uwanjani kwa lugha nyingine mafighter sio watoe kwa wale wenye majina makubwa eti kwa sababu wanafaa kutangazika kibiashara kwa maslahi ya klabu.
  mtu kama wayne rooney angeongoza akifuatiwa na lionel messi,xavi,iniesta,ronaldinho,steven gerrard,anelka,del piero,totti,robben,puyol,rio,lampard,terry,a.cole,ribbery,pirlo,zlatan,aguero,nesta,cassilas,buffon
  hiyo ndiyo listi yangu
   
 14. S

  Somi JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 628
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  nimemsahau daniel alves
   
 15. Abraham

  Abraham Senior Member

  #15
  Feb 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  But lets hold on a moment, with all intents Rooney should be ranking in the top 3 with the new contract he is abou to sign.
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,196
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ushindwe na ulegee mkuu Gang!
   
 17. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Teh teh mkuu ktk hii orodha yako umemtaja sasa yule mtakatifu ambaye ninajaribu kuwaza kwa nini na kwa kipi akifanyacho Adebayor mpk akapewa mkataba na mshahara mkubwa kumzidi yeye.

  Huyu mtakatifu ninaemzungumzia hapa huwa anafanya skills mazoezini na kwenye mechi.

  Na mechi zenyewe ni mechi haswaa ambazo ulimwengu wote huwa unakodolea kuzitazama.
   
 18. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 30,275
  Likes Received: 28,944
  Trophy Points: 280
  Mshahara ni NEGOTIABLE
   
 19. M

  Magehema JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 449
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  NEGOTIATION SKILLS BABA, kama Ade ameweza ku-bargain akafanikiwa kupata mkataba unaomwezesha kupata hicho kitita, chuki za nini???????? Pilipili ya shamba wewe yakuwashia nini?????????
   
 20. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mishahara mikubwa ya mancity inatokana na kwamba mancity ni timu ndogo kwa hiyo inabidi ilipe star players hela nyingi ili iweze kuwavutia
  kwa hiyo msishangae sana mishahara kama ya akina adebayor, tevez na wyne bridge, wasingelipwa mishahara mikubwa wangebakia kwenye timu hizo hizo za kwao
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...