Acha uongo wewe umeridhika au timu lako bovu kwa sasa halina tofauti na chapa kilevi fc ya temeke mbuli kumlomo,, hata usiporidhika ndo nini? Usiridhike tuone ubebe ubingwa,, na sio kutulea hadithi za sungura sizitaki mbichi hiziWananchi tumeridhika na tuna raha kama zote. Muda ukifika na tukayataka makombe tutayapata tu.
Acha makolo waumie kwa niaba yetu.
Unateseka ukiwa wapi.Acha uongo wewe umeridhika au timu lako bovu kwa sasa halina tofauti na chapa kilevi fc ya temeke mbuli kumlomo,, hata usiporidhika ndo nini? Usiridhike tuone ubebe ubingwa,, na sio kutulea hadithi za sungura sizitaki mbichi hizi
Nnaeteseka mimi au wewe chapa kilevi fcUnateseka ukiwa wapi.
Kwani hata huko Ulaya si ndipo Arsenal walipo ?Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.
Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.
Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
kama simba walikaa miaka 6 bila kombe, sisi miaka 4 ni nini?Presha Itoke Wapi? Wakati Lawama zote zinaelekezwa Kwa Karia na Almasi Kasongo wa Bodi Ya Ligi...!
Hao Utopolo Akili Zao Wanazijua Wenyewe, Miaka Minne ishakatika hawastuki Kombe hakuna...Ukiona Wameshiriki CAF jua WAMEBEBWA na Round yao ni Moja tu...! Wanarudi kwenye Lawama.
Na Waje kubisha sasa Rivers Kawafanya nini....!
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.
Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.
Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
Ebu fuatilia Manchester Utd na Arsenal FC .Ligi ya England.Tafakari kwa nini mako ha wao wapo mpaka leo pamoja na timu zao kufanya vibaya kwenye ligi yao na mashindano mengine ya Uefa kwa zaidi ya misimu 2. Je ingekuwa Tanzania ingekuwaje?Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.
Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.
Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.
Ligi hata kuanza tu bado, tayari umeanza chokochoko! Unapima kutokujituma kwa hao wachezaji katika mechi ngapi? Kama ni hizi mbili dhidi ya Rivers United basi utakua hauko sahihi hata kidogo.Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.