kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,807
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote, msimu wa 5 huu unaenda hawana kikombe chochote cha maana, klabu bingwa Africa wametolewa kwenye hatua ya awali kabisa lakin ukiwakuta wanavyotamba sasa na timu yao unaweza sema wao ndo mabingwa msimu uliopita, hili lianawafanya Viongozi, bench la ufundi na wachezaji kufanya business as usual.
Mashabiki wenzetu huko ulaya ni tofauti, uvumilivu upo lakin sio kwa mambo ya kipuuzi, timu ina wachezaji wazuri, inahudumiwa vizuri lakin mwenendo wa timu hauridhishi lazima watu wangehoji tena kwa nguvu, Shabiki wa timu hana anachikipata kt timu yake zaidi ya furaha ambayo huletwa na matokeo mazuri, Viongozi, Wasemaji, Wachezaji wanapokea mishahara lakn shabiki anatoa pesa yake ili hao wapokee mishahara, hana anachopata zaidi ya furaha ya ushindi.
Mashabiki wa Yanga na Tanzania kiujumla tubadilike, otherwise wachezaji wataendelea kuwa wavivu huku sisi ndo tunataniwa na kukonda.