Sijawahi ona ushabiki wa kijinga namna hiiMuwe mna muambia kocha wa stars achukue wachezaji wa utopolo pekee, Tumechoka kelele zenu, hamjapona tyuuh
hahaha jamaa yani asipoitaja Simba hajiskii vizuri kabisaSijawahi ona ushabiki wa kijinga namna hii
Kwa hiyo kifanyike kipi?Ungekua mchambuzi ungegundua hili
Sahihi mkuuMIMI NI MTANZANIA HALISI KABISA NA MWENYE AKILI TIMAMU..
KAMA UZALENDO NI KUPAMBANIA TIMU YA TAIFA AFADHALI NIWE MKONGO..NITASHABIKIA TIMU YA TAIFA SIKU TUKIACHA SIASA ZA MIPIRA NA KUWA SERIOUS NA MPIRA HALISI, NITASHABIKIA MPIRA WA TAIFA STARS SIKU CARRIER AKIACHA KUWA RAIS WA MPIRA{HUYU NI MHUNI MMOJA TU ANACHEZA NA AKILI ZA WAZAWA WA KITANZANIA, HATA TUKISHINDWA HANA UCHUNGU UNAKUTA ANACHEKA ANATOA VIMENO VYAKE KAMA JINI}
YAANI KAZI YETU NI KUOKOTA WACHEZAJI TOKA YANGA NA SIMBA, KAMA TAIFA HAKUNA MKAKATI, TFF HAKUNA MKAKATI KAZI KULA MISHAHARA NA KULETA UHUNI NA USIASA KWENYE MPIRA..
Ngoja ninywe maji nije..
Shida ndio inaanza hapa, wachezaji wa tram fulani,Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia [emoji32][emoji22]
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamisha[emoji24][emoji24]View attachment 3283659
KwendraahBongo Kila kitu kinafanyika Kwa kubalance ( busara) than uhalisia .......this is real what happens
Huna hoja zaidi ya utopoloismNimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini