Wachezaji maarufu wa kuchomekea Jezi Zao

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
kuna wachezaji wa mpira wa miguu wao dk 90 zote wamechomekea jezi zao kama vile mwanafunzi mtiifu anavyochomekea shati lake akiwa shuleni

Sio mbaya leo tukiwakumbuka wa zamani nawa Sasa wanaopenda kuchomekea jezi zao...

pale Uingereza kulikua na huyu Scot parker dk 90 zote kachomekea
John Terry
Cahil
Michael Carrick..etc
 
mimi pia nachomekea tena nimekua addicted hata nikilala nachomekea truck na vest hahahaaaa
 
d125123fdb7893ebaa748f982f9d92a6.jpg
 
Back
Top Bottom