Kweli aisee kwasabab de lema alivuma mda mfupi akapotea, ila huyu mwamba amedumu kwenye kiwango kwa zaidi ya miaka 10. Jamaa alikua anapiga mashuti ya mbali sana.Hiyo taarifa sijui kaipatia wapi mleta mada. Ni kumkosea heshima Batigoal kumweka nafasi ya 6 alafu de lima eti wa 1.