Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,603
- 3,084
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
Wacha inyeshe.
Mhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELOD hapa kuna ishara gani?ila wale ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
mzungu kaona kitu kwenye mechi za makundi kwa timu ya yanga.Mhindi siyo kichaa,uchambuzi wa kina umefanyika akaona Simba ni ngumu kutoboa Kwa mwarabu,hii ni kweli Simba anakufa Leo na wengi hatoamini macho Yao.
pia odds alopewa mamelod fatilia kwenye mechi yake ya ugenini na mazembe ila walitoa droo.Ifuatilie hyo odd aliyopewa Yanga,haitoboagi,ni anapigwa au akijitahidi adroo
nimeacha kamariWeka hela iliwe
Alipigwapia odds alopewa mamelod fatilia kwenye mechi yake ya ugenini na mazembe ila walitoa droo.
jipe moyoMAMELOD 9 KABWILI 0
Habib Habib thalanta bin thiful
watu wengi hawazifuatilii hizi odds,muhindi anajua sanaWatu wengi wataliwa mechi hizi. Hakuna sure bet kati ya hizo.
Kwa hiyo watu wa odds ni Mungu? Mtko...wwwadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELOD hapa kuna ishara gani?ila wale ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
mmmmmh lakiii!!mpe yanga au drawwatu wengi hawazifuatilii hizi odds,muhindi anajua sana
mi nikitaka kubet kwa mechi ya kesho nampa mamelodi double chance,naweka laki
Mkuu punguza kutukana huku kwenye Futbal waachie wanasiasa kule tubishane mpira kiistarabu tu inapendeza zaidi..Kwa hiyo watu wa odds ni Mungu? Mtko...ww