Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Mwadada84

Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
59
Reaction score
22
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza.......
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje....anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.
11.Always yuko na simu.....hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu....anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko.
 
Ana laini kila mtandao na lugha ya kuvutia mno wepesi kutoa msaada hasa kwa jinsia pinzani au penye uwepo wa jinsia pinzani ni wakarimu na wanyenyekevu mbele ya vigoli hadi wanatia huruma
 
Ehh kumbe huyu mwanajeshi wangu anachepuka basi
 
mateso yote ya nini??

mpango mzima ni kumiliki simu mbili.
 
Looooooo! Shida yote yanini? Kama anachati kwa sms tu namshauri ainstall app ya private sms kama vile "psb" ili asife kwa hofu ya kukamatwa. Any way... kwanini kuchiti lakini?
 
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza.......
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje....anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.
11.Always yuko na simu.....hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu....anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko.

Vipi na wewe unazo nini😀
 
Ha ha ha.. eti ninasikia ukiona kwenye whatsapp profile picture ya mpenzi wako imekuwa blank ghafla ujue umetolewa kwenye contact list na imewekwa picha ya mwenzio kwa muda..! Eti ya kweli haya Mwadada84..?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom