Mi nachepuka sana bila mpenzi wangu kujua,
Mara yangu ya mwisho kuchepuka ilikuwa ni usiku wa kuamkia leo,
Penzi la mchepuko ni tamu aswaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchepuka ovyo ni kutapanya mali tu.
Funguka mkuu, mwenyekiti wa wachepukajiDah!
Sijui nifunguke...au sijui niache tu?
[emoji16][emoji16][emoji16] Nini maana ya kuchepuka mkuu?Hua unachepuka wewe?
Haaa!? Kwani kunahata mmja ambae Ni wako kabsa?[emoji23][emoji23]
kelphin kepph
Nicole Wray.....Anko Juju nipo...
“Hayupo” [emoji1]