Wacheni udini mtaibomoa bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wacheni udini mtaibomoa bongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by houseboy, Aug 11, 2009.

 1. h

  houseboy Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kwanini haswa kila tunapokuwa na Rais muislamu mambo na majungu kibao yanaanziswa juu yao,nakumbuka sana wakati Mwinyi anaingia madalakani Nnchi ilikuwa imeooza kabisa,hakuna hata huduma za msingi kabisa,Bongo kulikuwa hakuna kitu kabisa hata Dawa ya mswaki ilikua hanasa,sukari kulikua hakuna na kuna watu walifungwa kwa kukutwa na dawa za mswaki zaidi ya mbili TZ nzima kulikua na TV SET 35 tu ,tv SET na siyo vituo vya TV Babu wa watu Mwinyi kaichukua nnchi kaitengeneza vizuri,kuanzia usafiri,huduma za jamii,na kila kitu kikawa safi,soon tukaanza kuona waraka wa wakristo kuanza kumshutumu mwinyi kwa udini,kisha wandishi wa habari kanza kumsakama pia na kila mtu ,Babu alipomaliza muda wake kajipunzisha na hata akipita mitaani watu wanampenda,kaja Mkapa kaibaka Tz kauza kila kitu,hakuna waraka kutoka kanisani,wala waandishi wa habari,kila mtu kimya .leo hii kaja Kikwete tunaona tena waraka,kelele na kila shutuma kutoka kila kona.mimi sna mengi sana ila naomba tumwachie Kikwete amalize muda wake na kama atachaguliwa tena amalizie muda wake,je mlikuwa wapi mkapa alipokuwa anachota mimali,mbona hakuna aliyegundua kitu au kwa sababu alikuwa mwenzetu,kama kikwete kafanya kosa au ufisadi tuonyeshe na siyo kumkosoa kwa sababu siyo mwenzetu,wakati wa BABA WA TAIFA KUNA MASHIRIKA YA UMMA YALIKUWA YAMEJAA WATU WA DINI MOJA,JESHI LILIKUWA LA DINI(KABILA MOJA,watu waliopogania uhuru wote waliondolewa bila kupewa hata ujumbe wa nyumba kumikumi,hakuna aliyepiga kelele,kuna watu walikua wanapotea kiainaina tu hakuna aliyepiga kelele,.acheni udini na tuwe tunakosoa pale tu kunapokua na sababu za kimsingi na siyo sababu za kidini.najua kuna watu humu wataanza kuleta hoja finyu kuhusu hili,lakini ukweli utabaki palepale KUNA WAATALAMU WENGI WANAKOSOA PALE TU RAISI AKIWA MUISLAMU .ENJOY TRUTH.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo unataka watu wasikosoe serikali eti kwa sababu rais ni muislamu? Hivi una akili wewe?
   
 3. h

  houseboy Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda sana wakosoe wanavyotaka ila uzushi,cherypick,ndio vinavyonisumbua je vipi wewe kama una akili mbona sijakuona kuitetea Tz siku zote mpaka Bongo imefilisika kabisa?.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ulitegemea unione wapi nikitetea Tz ?
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  1.You seem to be forgetting that Mwinyi mwenyewe was hand picken by Nyerere. Na wakati wa utawala wa Mwinyi for your information kulikua na malalamiko mengi ya udini na kupendelewa kwa Waislamu haswa kwenye ofisi za serikali. Je hilo unabisha?

  2.Mkapa mbona anasemwa? Mara ngapi hapa Mkapa kaitwa fisadi na kusemwa?

  3.There is no need ya kutumiwa udini kumsema Kikwete. It is easy to see that he is not the best of presidents.

  4.Je haujioni kuwa wewe ndiyo mdini? Wakisemwa viongozi wewe unaanza kuanalize waliosemwa ni wa dini gani. Has it occurred to to you kuwa wanasema simply because they are not doing something right? Au wewe ulitaka wasisemwe?

  5.Toa mfano wa sehemu ambayo raisi fulani wa tanzania kasemwa simply because of his religion. Siyo maneno tupu tu.

  6.Hapo pekundu hebu tupe mifano. Kwa sababu unasema wapo wengi hakuta kosekana mifano miwili mitatu.


  So lete ukweli zaidi tuzidi kuenjoy.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Na wewe umeonekana na nani ukiitetea Bongo? Mbona na wewe sijakuona ukiitetea Bongo?
   
 7. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa ndipo nawaonea huruma waliojitoa kuwakomboa watanzania wenye mitazamo kama hii....! poleni sana akina SLAA,ZITO,MWAKYEMBE,KILANGO. Mtu kama huyu ni rahisi kununuliwa kwa turufu ya udini...!
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hii thread ni ya kipuuzi kabisa, inakuza udini badala ya kuudumaza. Mtoa hoja hajafanya utafiti wala tafakuri ya kutosha, yeye ame-keep everything constant na kuacha factor ya udini tu.

  Tena sababu zake zote ni za uongo kabisa ndo maana ameshindwa ku-substantiate. Kwamfano: anasema kanisa halikutoa waraka kipindi cha Mkapa (huu ni uongo mkubwa tena wa mchana).

  JK hawezi kupata huruma za kidini kwa kushindwa kwake kutimiza majukumu. mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa Kikwete ameshindwa kutekeleza majukumu yake.

  wee houseboy tafuta nakala za Rai, Mtanzania na Tanzania Daimaza; miaka ambayo Mkapa alikuwa madarakani, utapata jibu ya yaliyokuwa yanaandikwa.
   
 9. S

  Shamu JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo letu WTZ tunapenda kutawaliwa na madicteta kama Nyerere. Watu hawajui maana ya FREEDOM.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nadhani tatizo la waTZ wengi ni kuwa na fikra duni. Na wewe ni mfano hai.
   
 11. h

  houseboy Member

  #11
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We acha uzushi nani kakwambia Mwinyi kawa handpick na Nyerere,Nchi ilimshinda na ilikuwa inadidimia baada ya kukaataa mashalti ya IFM na world Bank.na ilikuwa ni muda wa zanzibar kutoa rais.hakuna gazeti lolote au chombo chochote kile kilichokuwa kinasema chochote wakati wa mkapa ni sasa baada ya kufirisi nchi na kumaliza muda wake ndio mnaaanza kuongea wakati yupo rais mlikuwa mnasema ameimalisha uchumi vizuri.ukweli utabaki palepale na fact sina haja ya kuzisema kwani kila mtu anazijua na nimekupa baadhi ya mifano hapo unataka mifano gani?je kwa kusema mimi ndiye mdini unafikili ndio nitaogopa kusema,jibu hoja na siyo kusema mimi mdini utaanza mimi mdini kisha utasema mengi sana I dont care
   
 12. h

  houseboy Member

  #12
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abdul wewe ndio una fikra duni,unapenda kujamp on gun bila kuwa na point yoyote.
   
 13. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe sasa ndio mdini. Hakuna mtu mwenye akili atayemkosoa kiongozi kutokana na dini yake -- at least sio hapa Tanzania. Hapa tunaangalia uwezo na upeo wa kiongozi katika kuiletea nchi maendeleo bila kujali ni wa dini gani. Acha hizooo....
   
 14. S

  Shamu JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo matatizo ya watu kama nyinyi msiojua maana ya FREEDOM. Baada ya kuwa na point, unaanza kutukana. Haya ndiyo matatizo ya kuwa na WTZ EXTREMISTS kama nyinyi.
   
  Last edited: Aug 12, 2009
 15. S

  Shamu JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa nini hujibu kwa hoja? Unatakiwa utoe analysis yako na Si kutukana.
   
 16. H

  Haki JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unauliza nazi kisiju? au ndiyo wewe mwenye matatizo ya AKILI?
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I will take your quote as a vivid sign of down-syndrome.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  My analysis will be a waste of time and abuse of my intelligence. Kwa kifupi wewe huna akili na ndio maana huoni hoja kwenye quote yangu, na hata nikikuandikia kurasa mia za hoja hutoelewa maana ka-mstari kamoja tu kamekushinda kukaelewa.
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama tatizo ni kuhusu freedom mtu wa kwanza kumueleza kuhusu masuala ya freedom ni huyu mleta mada ya upupu. Nadhani ungechukua muda kumuelewesha kuwa kila mtu ana uhuru wa kukosoa serikali bila kujali dini ya rais au la.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Ok lets say mimi sijaleta point, haya wewe point ulioileta ni ipi so far? Huu mtindio wa ubongo?
   
Loading...