Tatizo vijana humu wana munakri sana....wanataka yule wanayemkubali wao basi kila mtu amkubali.....hawajui kuwa watu tumetofautiana kimaoni......
Mimi binafsi huyo Majuto hata hanifurahishi kwa kuwa sioni ucheshi ndani yake zaidi ya mtu mzee anayependa kukunja sura tu......
Na nikimtazama hata huyo Kansiime hajawahi kunifurahisha....
Kwa kifupi komedi hizi east afrika mimi si mshabiki wazo....
Mimi ni mshabiki wa Charlie Chaplin.....
Lakini naheshimu maoni ya wengine na siwezi kumtusi mtu kwa kutkubaliana na vile ninavyopenda mimi......