Wanaovuliwa nguo usiku ni wanawakesasa ikitokea mwanamme akivuliwa nguo ni hatari sana Mkuu gollocko mimi sikujuwa kama ni bwanaMzizi mkavu, mwenzio kuvuliwa nguo siku tu, teyari umeshamwita bibie. Aisee!
Bibie sunshine1 I'm MuslimJust for the matter of curiosity mkuu!
Baada ya kufiwa na mwanangu mwenye umri wa siku mbili katika mazingira ya utata, takribani wiki 3 zilizopita,niliamua kukaa karibu na Mungu ili nisije kuanza kuwatwanga risasi watu wote ninao wahisi kuwa wachawi ktk eneo hili la Maswa, maombi ya nguvu nikishirikisha watumishi mbali mbali wa Mungu yalianza.
Wiki moja baadae asubuhi nikakuta nyayo kubwa kama ngumi ya mtu mzima za fisi ama simba zikiwa zimeizunguka nyumba yangu na katika dirisha la chumba changu nje palikuwa pamekwaruzwa kwa nyayo zile sambamba na alama za raba za mtu aliyekuwa kasimama dirishani.
Kabla ya kufiwa na mwanangu wakati mke wangu akiwa mjamzito nilikuta alfajiri saa 12 kinyesi cha binadamu mlangoni kwangu,Leo hii alfajiri saa 11 nimeshtuka na kujikuta nikiwa uchi kitandani wakati nililala na nguo,nilianza kusali na kuzizingira nguo hizo kwa damu ya Yesu,dk 5 baada ya kumaliza maombi paka akaanza kulia nje ya dirisha la chumba changu kwa sauti hafifu sana,nikamkea na kisha akatoweka ghafla.
Ole wenu wachawi nitawashinda ktk ulimwengu wa roho.

Nina maana yangu wengi wa wachangiaji ni Wakristo ndio maana nimetowa Zaburi ili wapate urahisi wa kuomba dua. Mkuu OKW BOBAN SUNZU kwani wee ni Dini gani?mbona umetoa Zaburi tusome?
Christian Mkuu MziziMkavu pamojaNina maana yangu wengi wa wachangiaji ni Wakristo ndio maana nimetowa Zaburi ili wapate urahisi wa kuomba dua. Mkuu OKW BOBAN SUNZU kwani wee ni Dini gani?
Mimi ni Mtaalamu tofautisha na hao wanaojiita Wakristo wanaokwenda kila siku ya jumapili kusali na kuimba mimi ninaichambuwa kwa ndani zaidi hiyo Biblia usicheze na mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mkuu sunshine1 mimi ni Moto wa kuotea mbali.Nimevutiwa kwa jinsi unavyoifahamu Zaburi vizuri! Wanaojiita wakristo hata hawajui matumizi yake!