Wachangiaji wa Katiba Tanzania ndio hawa!!!

Aisii nimemkumbuka Kanali Muammar GHADAFFI alivyosema kuwa Protestors are Drug Addicts! Obviously hao hapo juu ukiwatazama tu utajua ni wapiga debe mateja wameokotwa kwenye vituo vya madaladala wakavuruge mjadala! What a disgrace! Its more than a shame
 
Ugali na maharagwe mchana - madhara yake Bungeni kwa vijana!

uhunibungeni.jpg

ugalimchana.jpg

kuchokabungeni.jpg

ugalinamaharage.jpg

usingizimaharage.jpg
 
Tanzania kwishiney! Kama watu wanaweza kufanyia mzaha mambo muhimu kama katiba lazima tujiulize uwezo wa kufikiri kwa wale wanaowakusanya! I wish, tungewabana walau kama watu 6 pale wasema kama wamekusanywa ama la! Nafahamu kuwa uchangiaji wa maoni ya katiba haujalizi social wala economic status. Hao vijana nawa walikuwa na uhuru wa kushiriki. But mambo serious kama katiba ambayo kwa bahati mbaya imeandikwa kiingereza na ingehitaji washiriki wawe wameisoma kabla haikuwa sahihi kuwaleta ndugu hao kwenye mkutano seriazi kama ule. Ni vema kuhoji UWEZO WA KUFIKIRI KWA YULE ALIYEWAKUSANYA. Binafi sidhani chama kinaweza kumpa ridhaa mtu kufanya jambo la kipuuzi kama hilo, unless wenye chama pia wanaogopa kivuli chao! Endapo rasmu ya katiba imepata baraka za wenye chama, wanahofu nini sasa kuiweka hadharani ili kujadiliwa na umma wa watanzania?
 
Ni kwa nini wamelala kiasi hicho? Utafiti unatakiwa hapa jamani!
hapo kwenye red ni muhimu sana mkuu, aliyeorganize kitendo hichi na hata kama ni kundi la watu fulani ni hatari kwa nchi zaidi ya tulivyodhania awali!
 
mateja...masharo brother...ma sister poa...aaaaaaaaaaaaah!!hii nchi banaa.yani kila kitu kiujanja janjaa,nothing real aaaaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom