Wachane watangazaji wanaoiga wenzao

Wachane watangazaji wanaoiga wenzao

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Tabia hii (kuigana sauti) ya watangazaji wa runinga na redio inakera sana, vyombo husika vinakuwa vinafanana hadi ladha mpya inakosekana.

Maintain your vocals don't c&p
 
Tabia hii (kuigana sauti) ya watangazaji wa runinga na redio inakera sana, vyombo husika vinakuwa vinafanana hadi ladha mpya inakosekana.

Maintain your vocals don't c&p
Hapo,Mkuu umepaona, na umesema kweli, Tumefika mahala, kusoma taarifa ya habari,na kugani mashairi, ni kitu kimoja! Kama mtangazaji Y kwenye TV X, huwa hasomi taarifa ya habari, huwa anagani, kama mashairi.
Inakera na kuchukuliza sana masikioni.
 
Kuna mmoja huwa namsikiliza choice FM has a kwenye vile vipengele vya habari za michezo za saa Huyu jamaa huwa wanamuita master tindwa kama sikosei Huyu jamaa anatangaza shaffi dauda Sauti na Kila kitu ajitahidi aanzishe style yake anaboa japo anajua kutangaza
 
Back
Top Bottom