wachambuzi wa uchumi/biashara tupeni tathimini soko la kitimoto huko mtaani linaendaje kipindi hiki

nilikuwa na miliki bucha moja maeneo ya Tabata miaka 3 iliyopita, ktk mwezi huu hali huwa mbaya sana.Unaweza chinja nguruwe mmoja au wawili badala ya 6 na zaidi kwa siku.
 
Back
Top Bottom