usipojisifia akusifie nani? Unangojea uje kuchomwa sindano? Tuna sifa coz pesa tunaijua, kwanza kuitafuta, pili kuipata na tatu kuitumia vilivyo, nne kukumbuka nyumbani, hivi kuna makabila mengine yanakumbukaga kwao? Mnaishia tu kujenga mjini, mwingine aendeleze gurudumu.