jina langu la a.k.a.nambiee
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.
Hapa Kazi Tu.
Tusiume maneno NYINYI NI MAJIZI, WABINAFSI NA WAKABILA SANA. Awamu hii mtaisoma tu.
NAONA MNAISOMA NUMBER?+,nimeamini nyinyi ni wabinafsi sana
Tatizo lenu hamjui umuhimu wa hili kabila katika swala nzima la kuharakisha maendeleo.Chauvinism is never rational; no matter how sound it may appear.
Hivi na wagogo, wamassai, Wahehe, Wakinga, Wamakonde, Wahaya wakiwa na Akili kama zako tutafika kweli?
Hebu acha UZANDIKI na MAJUNGU
hahahahaha waende wapi mkuu! inasemekana eti sio raia wa tanzania nikweli?Tatizo jingine ni kwamba, hamuipendi ccm.
Na hapo k.koo mtahama tu!!!
Tatizo lenu hamjui umuhimu wa hili kabila katika swala nzima la kuharakisha maendeleo.
Mimi sioni umuhimu wa wakwere hapa nchini ndio maana hata hatuwezi kupoteza mda kumjadili mkwere!!Halafu msipodhibitiwa mtatuletea ukabila nyie wachagga maana ake thread za kichaga hazipungui humu jamvini.jaribuni kuwa wastaatabu hivi nasisi wakwere tukianzisha hapa patakalikaa?
Hivi unajua % kubwa ya wachaga ndiyo wanaendesha serikali kwa kukusanya mapato makubwa serikalini!!
Mimi sioni umuhimu wa wakwere hapa nchini ndio maana hata hatuwezi kupoteza mda kumjadili mkwere!!
Tulijaribu kuwapa nchi Kikwete! Matokeo yake sote tunayajua.
Ni kweli mkuu hasa huyu Magu!Wafrika bado tuna ukabila na ni aibu eti unakuta limtu linazungumzia ukabila....sjui kuonewa ?
Mtu ambaye anaendekeza ukabila huwa kwangu ni f@! $k tu
Huna akili wewe
Huna akili wewe
Huna akili wewe
Maendeleo yapi kufanya ufisadi TRA.Tatizo lenu hamjui umuhimu wa hili kabila katika swala nzima la kuharakisha maendeleo.