Ndugu arch! Hoja yako upande fulani ina mantiki.lakini kwenye kusema wachaga waachie ngazi uongozi mbalimbali si sahihi. 1.kwanza nawapa hongera kwa maadili yao ya maisha na uchapaji wa kazi.uvivu kwao mwiko na jamii iko tayari kukutenga! 2.lazima wakubali lawama zinazo waangukia kwani nyingi za kweli hivyo wajitahidi kubadilika.3.wakati makabila mengi tanzania(hasa sisi wanyamwezi na wasukuma)tulikua hatutaki kuendeleza kwetu na tulikua hatuna umoja ugenini wao kwao walipajali.big up wachaga nimeishi moshi hadi vijijini kuhusu wachaga sijasimuliwa!