Wachaga wote wajanja

Asubuhi yoote hii uko buzy, kumbe unakimbilia kupost upupu!
 

Punguza hasira
 
Mods anzisheni form ya mashoga&waxenge iri weh cama hii ziwecwe
 
Kwenye wajanja lazima mjinga apatikane tu.Mcheki manka atakavyo umizwa hapo
 

Bado kuna kazi ngumu ya kuelimisha jamii yetu, mtu na akili zako unashindwa elewa maana ya jukwaa la utani, ckuona haja yoyote ya ww kutumia lugha mbovu namna hiyo rudi shule ndugu ukajifunze kupambanua vitu.
 
hivi humu ndani hamna wagogo au waluguru...maana naona mmewakomalia wachaga tuuu
 
Hawa wachaga wamekuwa maarufu sana hapa JF manake kutojua mambo ni wao kujua kwa kuuza ni wao duh!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…