Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Kha yaani nioe gogo kitandani eti kisa wachapa kazi na wanahangaikia future... Sory cant do that... Job namba moya ya mwanamke ni kukata viuno vizuri hayo ya kuweka future vizuri is upon me the man.
Naunga mkono hoja. Kila mtu kwente ndoa naturally ana majukumu yake. Mwanaume kazi yako ni kutafuta riziki na mwanamke ni kumfurahisha mumewe na kuihudumia familia.

Ukidevela jukumu lako ukampa mwanamke jua lazima uendeshwe tu. Vijana wengi wanaoogopa majukumu wakakimbilia kuoa wanawake wenye kazi nzuri, biashara nzuri, au kuoa kwa kigezo cha "mwanamke wa kuniletea maendeleo" wamejikuta wanapoteza uhuru wao kwa wake zao.

Na hii inajionesha wazi kwa wake wa kichaga. % kubwa ya wanaume wanaooa wachaga kwa kigezo hicho wamejikuta wamepoteza sana uanaume wao. Yani mwanamke anakupiga gear vibaya. Mwanamke ndo ana sauti kiasi kwamba hata ndugu zako kuja kwako mkeo ndo anaamua.

Nafikiri sote tuna watu tunaowajua waliooa aina hii ya wachaga na mnaona jinsi hawa wanaume wao wanavyokuwa watumwa.

Ya nini kuwa boya eti kisa mwanamke anajua kutafuta?? Wanaume tujisimamie tutafute hela, la sivyo tutaishia kuendeshwa tu
 
Mke wa kukuletea mafanikio!! [emoji15][emoji15][emoji15]
mbona umetoa macho? mke anaweza kukuletea mafanikio hata kama hafanyi kazi. kitendo cha yeye kukutia moyo na kukukumbusha kuhusu kujenga au kununua fanicha kunasaidia mwanaume kutojisahau na kupoteza hela kwenye ulabu.

wanawake wa kichaga wanasaidia kuleta maendeleo kwenye familia kwasababu ukishakua nae unajua kabisa nini kinatarajiwa kutoka kwako aidha na yeye au na baba mkwe wako.

N.B: mke wangu ni mchaga.
 

Niliyemtolea macho kuna kitu nilielewa kwake, kuletewa mafanikio sio hiyo uliyodadavua wewe... inasaundi vizuri ila haitegemei uchaga.

Kwa mujibu wa hitimisho lako, umeoa mchaga... basi uko ‘biased’.
 
Niliyemtolea macho kuna kitu nilielewa kwake, kuletewa mafanikio sio hiyo uliyodadavua wewe... inasaundi vizuri ila haitegemei uchaga.

Kwa mujibu wa hitimisho lako, umeoa mchaga... basi uko ‘biased’.

amna biasness hapo hizo ni facts kabisa. mi nimetembea na makabila mengi ila maendeleo nimepata na huyu mchaga wangu. wengine walibez sana kwenye mapenzi halafu mapenzi yanachuja na kiuno kinazoeleka na mwisho unakikinai.

huyu nimekuta automatically napata shauku ya kuwa successful zaidi, wale wengine akili iligota kitandani tu.
 
Kusema kweli wachaga wauaji na wezi wa watoto ukijichanganya umepotea

Ila nimegundua mchaga Kama mume ameanza shida ya michepuko na kuzaa nje mchaga huwai kwa kuchukua action mapema hatakal makelele
 
Dada zangu wako vizuri sema kuna baadhi humu wanawapinga tuu bure hawajajua
 

Mzee soma uzi vzr mbnaa umepaniki fala ww
 

Wangu me alisaidia sana nikapanga bila yeye sidhan kama ningekua na pambanaa, monica i love you popote ulipo[emoji3590]
 

Huo ndo ukweli
 
Umeongea kweli kabisa Boss.Kazi ya mwanaume ni kutafuta na kufanya shuguli za kimaendeleo?Sasa mtoa mada kwakuwa ni Mario kwa mama wa Kichagga analeta nyuzi zisizo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…