Wachaga wanaweza kuleta maendeleo

Ingekuwa vema kama ungeonyesha ushahidi wa nguvu kuhusu uletaji wao wa maendeleo na sio kupanda miti na maua kwenye nyumba zao. Hivi mimi nikipanda miti na maua nyumbani kwangu ndio maendeleo? Hivi unaongelea umaridadi au maendeleo? Hivi ni kabila gani linaongoza kwa wizi nchini?
 
Wapeni muone watavyowabagua, nawajua hawa watu nimeishi sana nao wanajiona bora sana kuliko wengine. Nimeoa huko nnaona jinsi wanavyojisifia. So nyie wote mnaotaka kuwapa uongozi wenzenu wanawaita CHASAKA eti nyie ni watu wa PORINI, utadhani wao kule kwao ni jangwa wakati imejaa migomba kibao!
 
Mkwele anaweza sana tu, kaangalie msoga palivyopendeza.
 
Mtu wa kabila lolote anaweza kuleta maendeleo na pia anaweza kuharibu maendeleo. Hao wachaga wapo wenye uwezo na wasio na uwezo. Hata ukiwatembelea kwao maisha na tabia zinatofautiana. Wale wa Uru, na wa Kishumundu huwezi kuwalinganisha na wa Machame na Rombo.

Cha maana hapa ni uwezo wa mtu kama yeye na si kabila.
 
Never wish utawaliwe na Mchagga utajiju. Naturally, Mchagga si kiongozi bali ni tapeli. Bora nitawaliwe na Chama Cha Mafisadi (CCM) kuliko kuwa chini ya Mchagga. Nyerere aliona mbali. Wachagga na wazee Wa katerero (wahaya),a big NO!
 
kama nyie ni wachakarikaji wa kikweli mtafight mpate hiyo mitaji na si kulalamika.
 
wapewe uongozi tuone lakini wachaga hawawezi kuiba pasipo na hela kwa hiyo atapiga akili jinsi ya kuingiza pesa so wakati pesa inaingia yeye anaiba but atleast atatutupia walalahoi lakini kwa makabila ambayo sio wachakarikaji wataiba hata hazina waliyoikuta kwa kuwa hawana akili ya kutafuta hela!!!!
 
Kuna jamaa yangu mmoja mchaga aliiba Tv ya shule,alafu peke yake yule jamaa..alafu hela yenyewe akalewea peke yake..
Yani wachaga bwana wezi halafu wana roho ngumu sana.
 
Kuna jamaa yangu mmoja mchaga aliiba Tv ya shule,alafu peke yake yule jamaa..alafu hela yenyewe akalewea peke yake..
Yani wachaga bwana wezi halafu wana roho ngumu sana.

ha ha ha ha.....uh. kweli wachaga kabila celebrity bongo.
 
angalia ktk miji yote tz biashara ni za kina nani na nyumba za kupanga utawajua wachaga
 
Never wish utawaliwe na Mchagga utajiju. Naturally, Mchagga si kiongozi bali ni tapeli. Bora nitawaliwe na Chama Cha Mafisadi (CCM) kuliko kuwa chini ya Mchagga. Nyerere aliona mbali. Wachagga na wazee Wa katerero (wahaya),a big NO!

kwa kuwa umezoea usharobaro na u mdebwedo unahofu kuongozwa na makabila yatakayokuchapa viboko.we endelea tu kukaa vijiweni utakujasutwa na wajukuu zako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…