Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
mangi ana software za ubahili
Acha hizo Chalii! pesa haigawii burebure kama peremende!!
Watu huwa "hawapewi" fedha bali "wanalipwa!" Tafakari!
Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini.lakini waliweka masharti ya kupata huo msaada.na mambo yalikuwa hivi:-
mhindi>mimi ntachora duara kisha ntarusha pesa juu,zitakazoingia zenu,zitakazo toka nje zangu
mpare>mimi ntachora mstari kisha ntarusha pesa juu,zitakazo dondokea kwenye mstari zenu,zitakazo toka nje zangu
mchaga>mimi ntarusha pesa juu zitakazobaki juu zenu,zitakazorudi chini zangu!
Hivi ni kweli sasa hawa ni wadudu ndege au mashetani mbona mimi naishi nao?hahahaaaaa kweli hawa sio watu.