Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,103
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa baa huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Ukisema jamiiforums ni mtandao wa wenye akili na badae ukasema wajinga wapo.Hizi ni hoja mbili kinzani kwahiyo unahitaji kabla ya kutoa hitimisho lako uhakikishe hitimisho halina chance ya debate au doubt(otherwise ukubali criticism baada ya hitimisho lako.Ndio mambo hufanyika kiongozi)Kuhusu hoja ya mleta mada, sikubaliani na wala sipingani nayo maana sina tafiti.
Ila swali langu kwako ni hili, hivi tukisema Jamii forums ni mtandao wa watu wenye akili, watakosekana kabisa watu wajinga na wapumbavu katika huu mtandao?
Uzi umenikuta na kula bia halafu kuna viazi wanatu kejeli😂Utakuja kivingine nakujua wewe
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
Jamaa kisa wameguswa ndugu zako umekuja mbio kuwalinda.Tulia man sijasema wachaga ni hamnazo sema jamaa kawapa sifa nyingi ambazo hamna labda angesema mnapenda pesa ningekubali maana kuna dada yako nilimpromise laki hapa kila siku ni simu utadhani ni deni(hovyo kabisa)Fanya wachaga hatuna akili na wote tunauza bar kiazi wewe🚮
Na huwa hawachezi chagulaga/sagulaga wala ngoma ya mbina.Wachaga hawajui kukata viuno kitandani
Hata Waisraeli wanaambiwa hivyo hivyo. Lakini Nyerere katika kitabu chake Building Ujamaa in Tanzania ameeleza wazi Kilimanjaro ilikuwa tayari kama alivyotamani Tanzania nzima iwe.Una hangover ya mataputapu ya huko uchagani, wangekuwa na akili wangekuwa maskini namna ile? Acha kudanganya watanzania wasifahamu uchagani, kwenu kungekuwa kuzuri mngekukimbia? Mngeishi km wakimbizi ndani ya nchi? Hapo penyewe hauko kwenu umevimbiwa sehemu flani hapa Tz. Neno chaga asili yake ni chaka, ni kakabila kadogo kalikuwa kanajificha kichakani chini ya mlima Kikimanjaro na mapangoni ili kisije kuteketezwa na wamasai na wapare. Wachaga ni maskini hawana rasilimali yyte hasa ardhi kwasababu ya unyonge waliokuwa nao. Wakati wa mjerumani wachaga hawakuwa ht na wilaya walikuw kijiji ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya jimbo la kaskazini iliyokuwa na wilaya mbili za Mbulu(Mbulu, Babati, Hanang, Karatu za leo) na Arusha((Ngorongoro, Monduli, Longido, Arusha, Arumeru, Simanjiro na Kiteto za leo). Wapare ndiyo kabila kubwa walikuwa na wilaya yao iliyokuwa inaitwa Pare(Mwanga na Same za leo) ilitokuwa ndani ya jimbo la kaskazini mashariki iliyokuwa na wilaya za Pare, Lushoto na Tanga. Upande wa kaskazini makabila makubwa na yenye rasilimali ni Wairaqw na Wamasai siyo wachaga ushahidi uko wazi ht leo. Wachaga walianza mwamko baada ya kupata elimu wakati wa kudai uhuru kulikuwa na vikundi nao walikuwa na kikundi chao, ni ukweli wao na wameru walikuwa wanataka kudai uhuru wa maeneo yao yaliyokuwa madogo mno, hebu fikiria Japhet Kirilo alikuwa anadai uhuru wa Meru Land na alienda Newyork, eneo la wameru ni ndogo mpk leo haijawa hata wilaya ila ni jimbo moja tu la uchaguzi Arumeru Mashariki. Nyerere alichofanya ni kuunganisha hayo makundi ili kudai uhuru wa nchi moja yaani Tanganyika. Baada ya uhuru mwaka 1963 Nyerere aliunda mkoa wa Kilimanjaro kwa kumega sehemu ya jimbo la kaskazini(uchagani) na sehemu ya jimbo la kaskazini mashariki(wilaya ya Pare) kuunda mkoa wa Kilimanjaro. Ndio maana ni mkoa mdogo zaidi nyuma ya Dar Es Salaam. Kuhusu vijiji vya ujamaa sina uhakika, ila acha upotoshaji hakuna angeweza kubishana na Nyerere hayo umejitungia tu. Suala la kabila teule ni ulevi wako tu, kwanza wachaga siyo kabila moja kuna vikabila vidogo vidogo humo ndani km wamachame, wakibosho, wamarangu, warombo, n.k kinachowafanya muwe kabila moja ni kwa kuwa mko ndani ya blanketi kubwa la Tanzania vinginevyo mlivyo wakabila mngebaguana sana. Ht hivyo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hakuna haja ya kila mara mtokwe na mishipa kujitangaza na kujisifu, mnagombea nini? Km ni uwezo wa kiakili sijui mmepima hizo IQ wapi ila ukweli ni kwamba uwezo hasa wa kiuongozi wa wachaga ni mdogo sana, hakuna aliyewahi nchi hii kuwa kiongozi mkubwa na maarufu, tabia ya wachaga ni uchokoraa yaani uwizi wa kijinga. Mji wa Moshi wenyewe umedumaa pale hakuna ujenzi mpya ingali miji midogo inajengeka kwa kasi mikoa mingine nchi hii. Hizo akili zenu za kunywea mbege tu. Na usisahau umaskini wa kutisha uchagani. Kaeni kimya itakuwa hatari sana kwenu nyie kuchukiwa na watanzania