Wachaga na maendeleo-impressed

Wachaga na maendeleo-impressed

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
5,452
Reaction score
10,861
Wakuu salaam,

jana nilibahatika kwa Mara ya kwanza kutembelea mkoa wa Kilimanjaro mitaa ya Marangu for the first time. Kwa kweli I was hugely impressed and I can only say big salute my fellow Tanzanians. I must say Mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa. Napenda sana kwetu na kila mwaka as long as it is practicable possible, lazima niende home na nifanye something positive. Ila Jana nimejifunza kikubwa in my life.

wengi wetu tunawajudge wachaga Kama selfish, conmen wanaupendeleo wa Watu wao nk. I personally have never believed in that. Lakini Jana I was really impressed na mwamko wa Hawa ndugu zetu. The streets are super clean, mitaa imepangika as if kuna some serious planning officers. Kila nyumba in garden nzuri, michongoma imekatwa kwa ulinganifu wa Hali ya juu. Migomba ina afya na most people look happy and seem to have hope and sense of purpose in life. Lami iko vizuri and super clean. Though some critics can argue kwamba wamependelewa na hizi lami, lakini kiukweli naamini hata hii lami isingekuwepo Watu wange kuwa vizuri tuu. Kila nyumbani kwa mtu kuna garden na bara bara nzuri inayofika mbele ya mlango. By the way most of these roads it's clear ni self initiatives za watu kujipanga na kuzitengeneza. Nyumba ni za kawaida ila very standard. Kiukweli, I wished watanzania wengi tungejifunza kwa Hawa ndugu zetu. Ardhi bado ina uoto wa asili, maji ya chemichemi ni mazuri hakuna mfano. Vyanzo vya maji vinatunzwa vema sana. Hakuna ufugaji wa ajabu ajabu. Naamini Hali ya hewa ya uchagani hata kwingine ipo..lakini chagas have mastered their destiny.

lengo la huu Uzi sio kusifia wachaga. Ila Napenda watanzania wenzangu tujifunze. Kiukweli huhitaji ruzuku kuwa na garden nzuri au kuwa na barabara nzuri inayofika kwako. Kiukweli, personally nimepata changamoto ya maendeleo. Mbezi na mikocheni kuna maghorofa mazuri sana lakini nje ya geti maji ni machafu yametuama. I never saw that in my Marangu trip. Watanzania tuache Kelele nyingine, tufanye kazi. Kiukweli Sasa naelewa kwa nini mchaga kila December lazima akahesabiwe. Kuna nyumba nimeona mgombani, I have never seen them in bongo! We can accuse the way we want...lakini I must say, you can't bit them, join them.

Kiufupi Nimekwenda Marangu nimeona, nimejifunza na naamini mazuri yatanisadia. Kwa kweli I say my fellow Tanzanians from Chagaland big up sana na don't listen to your critics. Chonga mbele. Taifa letu litaendelea kwa Watu positive Kama nyinyi. Hao wanaolalamika kila Siku tuwaache kwanza. Tufanye watajifunza.

pamoja sana na Jpili njema!

Masanja
 
wewe kwako kukoje,,?
Umeenda tafuta mke tu huko,
 
wewe kwako kukoje,,?
Umeenda tafuta mke tu huko,

Mkuu nilioa Siku nyingi huko mitaa ya kwetu. Kwangu kuko poa kaka...km 1200 toka Dar ila nakamata dstv kijijini...Uliza kingine bro.....
 
Mkuu karibu sana . Tembelea na maanguko ya maji kama vile kilasia water fall. Utaipenda.
 
Ni kweli Uchagani pazuri sana watu wanajitahdi kujenga nyumba nzuri kuziwekea garden nzuri za maua usafi wa mazingra na kulinda uoto wA asili Watanzania igeni vitu.vizuri vya maendeleo kutoka kwa wachaga
 
Umefika Marangu tu umepanic , je ungefika Machame kwa wapalestina si ndio ungepagawa!!

And this is the problem for my compatriots. Kila kitu tuko negative tuu. I simply admired how people take responsibilities for their lives.
 
ntahunga safari na mimi nikajionee mazuri ya Uchagani
 
Ni kweli mkuu mimi nimebahatika kufika Machame na nimejionea kwa macho yangu jinsi gani hawa jamaa wapo juu, nikajaribu kuvuta taswira ya mkoa wangu wa Pwani na hasa wilaya yangu ya Mkuranga nikaona kuna tofauti kubwa ya kimwamko! big up CHAGGAS!
 
hamna kitu, huyu jamaa atakua ametokea mkoa wa wachafu tu, i bet, ni wa KIGOMA.

Acha kuzalilisha watu mkuu,.

Kuna wenzako wengi sana hapa Jamvini wanatokea Kigoma usiwadhalilishe kiivyo.

lakini hata wewe una mkoa wako, kwanini usiusifie?

Acha chuki na roho mbaya za kijinga!
 
Back
Top Bottom