Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,564
- 8,325
[emoji23][emoji23][emoji23] wana bifu na wewe halafu wanataka wakuchonganishe
Jr[emoji769]
Hahah daah jamaa wana matatizo sana mkuu,ngoja nijiandae kupangua makombora ya Nuclear.[emoji23][emoji23][emoji23]wameingia mitini wanasubiri kinuke kwanza
Jr[emoji769]
Anayebisha uchawi haupo wee mwangalie tu usibishane naye... Yani kama kombora la Iran badala ya kwenda kwenye war base ya US likaenda kwenye ndege yao[emoji23]
Jr[emoji769]
Anayebisha uchawi haupo wee mwangalie tu usibishane naye... Yani kama kombora la Iran badala ya kwenda kwenye war base ya US likaenda kwenye ndege yao[emoji23]
Jr[emoji769]
Nitakupa backupHahah daah jamaa wana matatizo sana mkuu,ngoja nijiandae kupangua makombora ya Nuclear.
dodge
Hahah hivi kumbe mambo ya kilingeni yanawezekana hadi kwny mambo ya tech?
dodge
Hvi mkuu kuna namna yoyote ya kujikinga na hawa jamaa wasikuzuru au kukupiga shambulio yan upate kama kinga flan
Tofaut na mwenyez mungu je kuna njia gan zingnezo?
Sent using Samsung s10