wachaga mliopo hu jamvi naombeni jibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachaga mliopo hu jamvi naombeni jibu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Duzente Siqwente, Aug 16, 2012.

 1. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nn maana ya hili tangazo ''MBONYI SHAFFO CLEME''
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  How r u doin cleme?!! Ama??!! Kichaga nakisikia kwa mbali i think am more or less correct :happy:
   
 3. N

  Nick Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jibu ni Nashicha mamae
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Nimeishi uchagani (Rombo) maisha yangu yote, na hiyo ulotaja ni salamu za kichaga kwa mtu aitwaye Clement. Wachaga, kama binadamu wengi walivyo, wanapenda sana kufupisha majina ya watu.Kwa hiyo Joseph itafupishwa na kuwa Josee, Rodrick itakuwa Rodii, Godfrey au Godbless yanakuwa Godii,Grace itakuwa Gree, Joyce itakuwa Joii, Mary inakuwa Merii, Matilda=Mati nk. Katika sredi hii mhusika ni Clement ndo maana anasalimiwa kama Clemeee! Majina ya ukoo ni nadra sana kufupishwa;yanatamkwa full eg Moshi=Moshi.Swai=SWai Massawe=Massawe etc.Bahati mbaya uchagani hakuna majina marefu ya ukoo kama ilivyo uhayani Ndo maana hakuna ufupisho kwenye majina ya ukoo.

  Akina mama uchagani ndo mafundi wakubwa wa kufupisha majina ya watu.
  Kwa hiyo kama ni Matilda anasalimiwa, utasikia:Shimbony shafo Matii! nk.
   
 5. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  HYGEIA, big up sana, nadhani umempa jibu sahihi sana, hatuna haja tena ya kuendelea kumjibu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...