Wachaga kwa nini lakini

Wachaga kwa chenji yangu. Hata kama anajua pesa aliyo itoa airudi chenji.
 
Nimeshawahi ishi maeneo tofauti mawili, ambayo yote nilikua karibu na kanisa.
Kilichonishangaza ktk makanisa yote wachaga ndiyo walikua waweka hazina! Wakiondoka na sanduku la sadaka!
Hawa jamaa aisey hawakopesi kwenye mavumba!
 
Hahaha jaman wamezidisha kuwa wachumi
 
sasa kama nimelipa hela kubwa zaidi ya
niliyotakiwa kulipa
si lazima nirudishiwe chenji?
halafu kwa mtoro wasandawe wanakutafuta ujue!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…