Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Ndugu zetu wachaga hivi suala la kuweka vikao vya misiba bar mtaacha lini?
Hivi hamuwezi kutafuta sehemu tulivu na yenye staha zaidi ya kuja bar kuongelea suala nyeti kama la msiba?
Imagine leo nimetoka kwenye mishughuliko yangu nikasema ngoja nikae bar hapa nipate moja moto moja baridi nakuta watu wameweka kikao cha msiba aisee wamenikata na stimu kabisa nimesepa zangu.
Hivi hamuoni kwamba kuna watu wenye weledi watakuwa wanakwepa hivyo vikao kutokana na imani zao na kuogopa kuingia majaribuni?
Nashauri wachaga mbadilike bar ni sehemu ya starehe sio sehemu sahihi kwa ajili ya vikao vya misiba.