Wachaga, bar sio sehemu ya kuweka vikao vya misiba

Status
Not open for further replies.

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,551
2,000
Ndugu zetu wachaga hivi suala la kuweka vikao vya misiba bar mtaacha lini?

Hivi hamuwezi kutafuta sehemu tulivu na yenye staha zaidi ya kuja bar kuongelea suala nyeti kama la msiba?

Imagine leo nimetoka kwenye mishughuliko yangu nikasema ngoja nikae bar hapa nipate moja moto moja baridi nakuta watu wameweka kikao cha msiba aisee wamenikata na stimu kabisa nimesepa zangu.

Hivi hamuoni kwamba kuna watu wenye weledi watakuwa wanakwepa hivyo vikao kutokana na imani zao na kuogopa kuingia majaribuni?

Nashauri wachaga mbadilike bar ni sehemu ya starehe sio sehemu sahihi kwa ajili ya vikao vya misiba.
 
mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
5,938

Wachaga wengi ni bakhili,,

Kuweka vikao vya msiba bar,,ni kutafuta mteremko kwa mfiwa.
-- ukiweka msiba bar,,nyumbani hakupikwi.

-- kukwepa gharama za mazishi na hata gharama za kukodi viti na turubai.

Siku hizi wamekwenda mbali zaidi,,hata kuaga mwili ni hospital,, baadae huko huko hospital wanaanza safari ya kishimundu.
 
Nov 20, 2018
61
125

Acha umburura, na usiwapangie vikao vifanyike wapi, kwani baa ya kunywa ni hiyo tu? Au hapo ndo bar unakokopesheka na vibia vyako vya kuunga!
 
Trinity

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
580
1,000
Acha umburura, na usiwapangie vikao vifanyike wapi, kwani baa ya kunywa ni hiyo tu? Au hapo ndo bar unakokopesheka na vibia vyako vya kuunga!
Umejuaje anakunywa vibia vya mkopo na kuunga.! Acha dhararu.

Hujaona amekuambia aliondok zake baada ya kuona hilo tukio??
 
cmases

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,660
2,000
Wachaga wengi ni bakhili,,

Kuweka vikao vya msiba bar,,ni kutafuta mteremko kwa mfiwa.
-- ukiweka msiba bar,,nyumbani hakupikwi.

-- kukwepa gharama za mazishi na hata gharama za kukodi viti na turubai.

Siku hizi wamekwenda mbali zaidi,,hata kuaga mwili ni hospital,, baadae huko huko hospital wanaanza safari ya kishimundu.
Haujamuekewa mleta mada!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom