K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 764 Apr 16, 2012 #1 maisha yangu siwezi kuwa askari wa jeshi lolote bora niwe mkulima wa ndengu kuliko kumwabudu, kumgeshim kiongozi fulani kuliko hata mungu? wacha nife masikini bwana
maisha yangu siwezi kuwa askari wa jeshi lolote bora niwe mkulima wa ndengu kuliko kumwabudu, kumgeshim kiongozi fulani kuliko hata mungu? wacha nife masikini bwana
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,178 Apr 16, 2012 #2 Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi.
Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi.
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,843 Reaction score 10,768 Apr 16, 2012 #3 King Kong III said: Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi. Click to expand... Mpumbavu anapokaa kimya huhesabiwa kuwa mwenye hekima.
King Kong III said: Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi. Click to expand... Mpumbavu anapokaa kimya huhesabiwa kuwa mwenye hekima.
M Maamuma JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 848 Reaction score 315 Apr 16, 2012 #4 Nyenyere said: Mpumbavu anapokaa kimya huhesabiwa kuwa mwenye hekima. Click to expand... Umenena vema.
Nyenyere said: Mpumbavu anapokaa kimya huhesabiwa kuwa mwenye hekima. Click to expand... Umenena vema.
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Apr 16, 2012 #5 Achen kufatilia professional za watu ala!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,001 Reaction score 77,332 Apr 16, 2012 #6 Mkuu watakuja wenyewe,sasa uwe tayari kujibu hoja.
pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Apr 16, 2012 #7 Maisha ni kama A mpaka Z kwenye mfumo wa alfabeti.
SR senior JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 358 Reaction score 68 Apr 16, 2012 #8 accordng to plato, watu wamegawanyika ktk makundi matatu golden, silver na iron....waacheni iron boy wafanye kazi!!!?
accordng to plato, watu wamegawanyika ktk makundi matatu golden, silver na iron....waacheni iron boy wafanye kazi!!!?