Wabunge zaidi ya 26 hawamo bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge zaidi ya 26 hawamo bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Feb 2, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Posho.jpg

  Nimehesabu viti kwenye hii picha ambayo imepigwa ikiwa na neno posho za wabunge.
  Kiti kilichokaliwa ni cha Anne Kilango tu na vingine 26 viko wazi. Anne Kilango hukaa sana upande wa CCM.

  Idadi hiyo ya absentees 26 ni sawa kabisa na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA bila kuhesabu wa viti maalum.

  Viti hivi 26 kwa posho ya shs. 200,000 maana yake ni shs. 5,200,000/= kwa jana tu!

  Tafakari
   
Loading...