Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,984
- 30,178
Najua baada ya bunge kwisha wabunge watakuja kitaa na uongo wao na kujifanya wanalia shida na sisi. Sasa nimeandaa clip zao walivyokua wakitetea uozo kuanzia bunge la jamhuri mpaka walivyokua wakishabikia upuuzi wa bunge la katiba ni muda muafaka tu kitaeleweka. Wapo waliotetea eti iongezwe tozo kwenye mafuta hali wakijua itaathiri wananchi, wapo waliokua wakifuraia kushuka kwa thamani ya hela yetu, wapo waliodiriki hata kutukana wananchi ilmradi tu eti yeye ni mbunge ntazirusha zote hewani wananchi waone na wakumbuke upuuzi wa wabunge wao. Na katika bunge la katiba ndo balaa zaidi kuanzia wale waliokua wakishabikia madaraka zaidi kwa raisi mpk wale waliomtukana warioba. Chonde chonde naomba wasamaria wema tusaidiane kukusanya clip hizi ili tueze kuwatoa hawa wadhalimu wa ccm maana kwa miaka zaidi ya 50 hawana walichotufanyia