pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Huyo ni kishimba wa imaraseko,hapo naamini maneno yako mkuu maana jamaa na yule msukuma wa geita,ni sawa sawa kabisaJana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo. Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua kugeuka ili ikiwezekana nichangie lkn cha ajabu nilipigwa na mshangao kukuta kumbe ni wabunge tena wa Kanda ya Ziwa,
Mbunge aliyekuwa anapinga kwa nguvy zote RELI na kusifia MALORI ni Mbunge ambae alikuwa na super market kadhaa siku za nyuma inayoanzia na herufi I......Mbunge huyu alikuwa anasema manneno haya 'nashangaa serikali inakimbilia kujenga reli wakati reli haina tija kwani reli inaweza kukuletea mzigo wako hadi mkangoni? Kwanza wenzetu Kenya na Uganda nao sasa ni mwendo wa malori ndio yana tija, Afrika Kusini yenyewe imeshindwa ktk sekta ya reli kwani haina tija'
Nilimshangaa sana Mh. huyu, kama ndio wabunge tunaotarajia walete mabadiliko Nchi hii mie naona hakuna kitu.
Aisee hapo Morena wana supu nzuri sana ya mchemsho. Msalimie sana Rukia hapo.Jana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo. Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua kugeuka ili ikiwezekana nichangie lkn cha ajabu nilipigwa na mshangao kukuta kumbe ni wabunge tena wa Kanda ya Ziwa,
Mbunge aliyekuwa anapinga kwa nguvy zote RELI na kusifia MALORI ni Mbunge ambae alikuwa na super market kadhaa siku za nyuma inayoanzia na herufi I......Mbunge huyu alikuwa anasema manneno haya 'nashangaa serikali inakimbilia kujenga reli wakati reli haina tija kwani reli inaweza kukuletea mzigo wako hadi mkangoni? Kwanza wenzetu Kenya na Uganda nao sasa ni mwendo wa malori ndio yana tija, Afrika Kusini yenyewe imeshindwa ktk sekta ya reli kwani haina tija'
Nilimshangaa sana Mh. huyu, kama ndio wabunge tunaotarajia walete mabadiliko Nchi hii mie naona hakuna kitu.
Jana jioni Mjini Ddoma niliamua kwenda ktk Hoteli ya Mh. Shabiby iitwayo Morena kwa ajili ya kuonana na rafiki yangu ambae amefikia hapo. Kilichonishangaza ni mazungumzo yakliyokuwa yakiendelea ya watu flani waliokuwa wakilalamika serikali inataka kupoteza fedha ku-invest ktk reli! Niliamua kugeuka ili ikiwezekana nichangie lkn cha ajabu nilipigwa na mshangao kukuta kumbe ni wabunge tena wa Kanda ya Ziwa,
Mbunge aliyekuwa anapinga kwa nguvy zote RELI na kusifia MALORI ni Mbunge ambae alikuwa na super market kadhaa siku za nyuma inayoanzia na herufi I......Mbunge huyu alikuwa anasema manneno haya 'nashangaa serikali inakimbilia kujenga reli wakati reli haina tija kwani reli inaweza kukuletea mzigo wako hadi mkangoni? Kwanza wenzetu Kenya na Uganda nao sasa ni mwendo wa malori ndio yana tija, Afrika Kusini yenyewe imeshindwa ktk sekta ya reli kwani haina tija'
Nilimshangaa sana Mh. huyu, kama ndio wabunge tunaotarajia walete mabadiliko Nchi hii mie naona hakuna kitu.
Aisee hapo Morena wana supu nzuri sana ya mchemsho. Msalimie sana Rukia hapo.
Tehe tehee...hatari sana pale. Utafikiri walifanya usaili Miss Tanzania. Mwanaasha ni balaa..kweli Dodoma kunatosha.Rukia hafati kwa mwanaasha wa KAUNTA mtoto mweupe wa kirangi, amekula sana bia zangu yule mtoto, na kuna kengine kembamba kapo restaurant walahi nikirudi dodoma lazima nile vinono.
Ni mimi
HARBINDER SING SETH
Tehe tehee...hatari sana pale. Utafikiri walifanya usaili Miss Tanzania. Mwanaasha ni balaa..kweli Dodoma kunatosha.
Hahahahaha....kumbe wadau wa Morena tuko wengi humu JF.Mwanasha ameshawahi kunivurugia Bajeti ZANGU.
Ana laana huyu mtoto!