Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!Nitajie wilaya yenye project hata robo 3 ya hizi!
-Uwanja wa kimataifa wa ndege...
Una hoja kweli hapo!? Hivi wenzetu ni Watanzania kweli wenye mizizi ya uasili au ni wakuja!!?Jibu hoja acha viroja
Bado hujajibu swali,wilaya nyingine zinaweza kuwa na mradi mmoja au miwili kati ya hiyo niliyotaja!Nitajie wilaya yenye miradi kama hiyo kwa pamoja!- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!
Miradi ya Dodoma, Dar, Arusha huioni?Mzee mmoja wa "inner circle of evil" ya CCM anasema kwa kinachoendelea,Kaskazini inabidi tujipange kitimu kutoa namba moja,wakati huo huo kanda ya kati nao wanapanga mikakati,nyanda za juu nao hawapo nyuma.
Kuwa "precisely" tafadhali.- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!...
Ipi!? Mbona hamuitaji na kufanya uthaminishaji wa mahitaji na faida kiuchumi na kijamii!?Miradi ya dodoma,dar,arusha huioni
Ipi!? Mbona hamuitaji na kufanya uthaminishaji wa mahitaji na faida kiuchumi na kijamii!?
Lini Chato ikawa eneo kuu la Uvuvi Kanda ya Ziwa au unashabikia usichokijua?- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!...
Weka data usilete maneno ya jumlajumla.Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini
Kwa maana hiyo kila penye shughuli za uvuvi magufuli atajenga uwanja wa ndege kuinua uvuvi?Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!
Kanda ya ziwa tayari kuna hospitali ya rufaa ya bugando.- Hospitali za Rufaa jiongeze boss! Tangu Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani imejenga ngapi na Kipindi cha pili vilevile
Hapo lumumba hamfundishwi communication skills?Ujenzi wa Chuo kikuu hata Mikoa mbalimbali yenye viwanja hivi vipo kwenye Wilaya husika kama Chato.
Wew ndio lofaWewe ni mpuuzi sana .hujielewi
Hapa Tunduru hakuna labda.hata dawa hospital hakunaWacha wakae kimya 2025 watajuta
- Viwanja vya Ndege na bandari zimejengwa na kuboreshwa sehemu nyingi nchini. Sitaki kukutafunia umeze hebu fatilia. Pia ukumbuke lengo la uwanja wa Chato ni kuinua Sekta kubwa ya uvuvi ili Ndege za kimataifa zitue na kubeba mzigo!
- Hospitali za Rufaa jiongeze boss! Tangu Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani imejenga ngapi na Kipindi cha pili vilevile.
- Ujenzi wa Chuo kikuu hata Mikoa mbalimbali yenye viwanja hivi vipo kwenye Wilaya husika kama Chato. Ukipata kiwanja kikubwa eneo kama Chato litaibeba Kanda ya Ziwa hususan Mkoa mkubwa saana wa GEITA!
MWISHO MSISAHAU HIZI ZOTE NI AJIRA AMBAZO WATANZANIA WATAPATA