Huo ndo ukomavu wa kisiasa kupata suluhu kwa njia ya makonde.
hivi bunge lao ni mogadishu ama wanakutania wapi?
Huo ndo ukomavu wa kisiasa kupata suluhu kwa njia ya makonde.
:lol::lol: safi sana kule kwa bi-kiroboto wanatakiwa wajifunze kupitia somalia safari hii wakija na sera mbovumbovu litageuka somalia
Unahc nani wa kuuwasha moto?
Bunge la Somalia limeingia kwenye mzozo baada ya wabunge wake kuamua kuchapana makonde,
wabunge hao waliingia kwenye mzozo baada ya kutofautiana,chanzo cha ngumi ni uchaguzi wa Spika wa Bunge bwana Sharif Hassan,ambaye baadh ya wabunge 'wanamkubali' na wengine hawamtaki,habari zinaeleza kuwa wapo 'wazee wa posho' ambao walijeruhiwa.
Sosi:SWAHILI TEHRAN RADIO