Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Mh. Mbatia naye ni viti maalumu ila sijuhi jimbo analotoka.
Kwani unadhani viti maalumu huwa wana majimbo?
Mh. Mbatia naye ni viti maalumu ila sijuhi jimbo analotoka.
...usichezenayo,mpaka marais wanaiogopa....Mmmh.....ICC?
Ndiyo mkuu,ila mara ya mwisho kupima dokta aliniambia mkojo wangu una protini nyingi hivyo unafaaUshapima mkojo siku za karibuni?
CCM ni kichaka cha wahalifu,wahujumu uchumi,walanguzi wa unga na kila aina ya deal chafu,nawashangaa sana vijana wenye akili na elimu wakishobokea ccm ... huwa sielewi kabisa nani kawaloga ...
Hapa mnatuchezea viini macho,
Kumbe wauza unga wanafahamika lakini mnalindana!
Kwani Tanzania hatuna mahakama za kushughulikia Hizi kesi?
Au Tanzania tuelewe hatuna serikali!
wauza sembe_ccm
wauza pembe za ndovu_ccm
wezi_ccm
wabakaji_ccm
wasambaza virusi_ccm
wangoa kucha_ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
ccm
why always ccm?