Wabunge wasiogombea tena 2020 weka list yao hapa

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Tunaelekea uchaguzi mkuu hapo 2020 lakini mapema tu kuna baadhi ya wabunge wameshatangazwa kwamba gawatagombea tena nafasi zao hizo kupitia vyama vyao na sababu zao mpaka sasa hazijulikani
kwa kuhisi tu wale wa chama cha kijani wengi ni wale wanaoenda kinyume na fikra za mwenyekiti hivyo wanahofia kukatwa licha ya umaarufu wao katika siasa na kuogopa fedhea jiwe aonekane mshindi
lakini pia wengine huenda ni wapindanzani na wameamua kuunga juhudi za meko

mpaka sasa ni rasmi kwamba Prof Anna Tibaijuka hatagombea uchaguzi ujao kwa sasa anamalizana na issue za ubunge na kula mafao

Januari Makamba pia ashaweka wazi uchaguzi ujao atausikia kwenye bomba ty kwa issue ya ububge wa bumbuli

Peter Msigwa kupitia CHADEMA iringa mjini bado hana uhakika kama atagombea tena kwani ametumia mtandao wa twitter mara kadhaa kuwaomba wananch wampe kibali kwa kuwauliza swali je 2020 nigombee tena au nisigombee? hii ni mashaka makubwa na soon tunaweza sikia chochote toka kwakee

tujuzane hapa, ni wabunge gani hawatagombea kwa hiari zao wenyewe uchaguzi ujao wa 2020
 
Back
Top Bottom