Sio tatizo lao kwa maana wengine tuliwachagua tukijua ya kuwa wana familia na shughuri zao dar,sasa waache familia zao ama waache miradi yao mingine?siwatetei lakini ni lazima tuelewe kwamba sisi wananchi huishia kupokea vizawadi bila kuwabana wakati wa kampeni zao kujarbu kuuliza mambo kama haya na baadae tunaanza kujilaumu wenyewe
Alafu mbunge kuongelea Dar sio ishu,ni bora kuliko wanaolala na kusifia na kupongezana ktk mambo ya kipuuzi,kwa mfano mbunge kuuliza uharibifu wa ml.Kilimanjaro tatzo liko wapi ikiwa mlima ni sehemu ya asset ya nchi,hapa haijalishi huyu ni wa Mwz,Mby wala Mtw.kufocus sana dar si tatzo cha msingi atangulize ya watu wake na ndo aongelee kitaifa...dar ndo jicho la nchi yetu jamani.