Wabunge wanavyojisahau...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli
wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao
kutwa wanazungumzia daresaalam
yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...

mbunge wa mafia alivyozungumzia ishu ya uda tena kwa hasira
mwingine wa lindi alizungumzia sana police kilwa road
na mwingine wa zanzibar alizungumzia sana wasomali wa kunduchi

immekuwa kama fasheni unakuta mbunge wa kigoma mfano
lakini anasimama bungeni na kusema "mimi naishi pale kunduchi"

mimi huwa najiuliza,sasa waliowapigia kura wanajisikiaje?????????

mbona wabunge wote wanazungumzia kero za daresalaam??????????
 
Mkuu, kwa sababu wote wanaishi Dar es Salaam.
Huko majimboni huwa wanakwenda kupigiwa kura tu lakini makazi yao ya kudumu ni Dar es Salaam
 
Serikali yenyewe inapiga mark time kuamia Dodoma seuse individuals au wabunge!!!!
 
Afadhali hao wanazungumzia mambo ya Dar es salaam lakini mbunge wa jimbo langu hata kuongea hata kukohoa hajakohoa bungeni! Mbunge wa Rorya (Lameck Airo)
 
Wao si wakulaumiwa bali wale waliowachagua huku wakijua mhusika haishi miongoni mwao na wakati mwingine kuwanyima kura wale ambao wanaishi miongoni na kuwachagua wale wasioishi nao.
 
Dar ndio cream ya watz ilipo na budget ya nchi ilipo.

Kuizungumzia Dar ni jambo la kupongeza uhususani wenyeji wake ndio watu wakarimu zaidi tz kuliko sehemu yeyote na mchanganyiko wa watu ni taswila ya taifa zima.
 
Kama kuna mtu anaweza kufanya utafiti kidogo to hata kama ni mapitio atagundua kuwa at least 80% ya wabunge wa Tz wanaishi au wametokea Dar. Hii inafanya uwakilishi wa watu vijijini/majimboni kuwa wa walakini. Zaidi ya hapo, ninadhani endapo mbunge atakuwa Dar-centric atatumia gharama kubwa kukaa madarakani. Hii ni pamoja na kupindisha matumizi ya hela za mifuko ya maendeleo ya jimbo kufadhili makundi yatakayo mpigia debe wakati wa uchagu
Mkuu, kwa sababu wote wanaishi Dar es Salaam.
Huko majimboni huwa wanakwenda kupigiwa kura tu lakini makazi yao ya kudumu ni Dar es Salaam
 
Wao si wakulaumiwa bali wale waliowachagua huku wakijua mhusika haishi miongoni mwao na wakati mwingine kuwanyima kura wale ambao wanaishi miongoni na kuwachagua wale wasioishi nao.

Unaletewa watu watatu unaambiwa uchague na wote hawaishi jimboni kwako. What do you do?
 
Sikuzote mtu huzungumza kilichopo moyoni na anachokifahamu,hawa jamaa wanaifaham dar tu sababu ndiyo kwao na si majimboni kwao.
 
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli
wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao
kutwa wanazungumzia daresaalam
yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...

mbunge wa mafia alivyozungumzia ishu ya uda tena kwa hasira
mwingine wa lindi alizungumzia sana police kilwa road
na mwingine wa zanzibar alizungumzia sana wasomali wa kunduchi

immekuwa kama fasheni unakuta mbunge wa kigoma mfano
lakini anasimama bungeni na kusema "mimi naishi pale kunduchi"

mimi huwa najiuliza,sasa waliowapigia kura wanajisikiaje?????????

mbona wabunge wote wanazungumzia kero za daresalaam??????????

Mini nisha iambia serikali na hiki ndio kilio cha watu wengi sana kwanini wamejikita DAR? kunani Dar serikali yatakiwa hamia DODOMA! for how long hili tukio litatimilika? Maana at least unaweza sema DODOMA wabunge wana nyumba zao wako hapo kikazi lakini wewe mbunge wa Ukerewe una kaaa Dar tena Kunduchi wapi na wapi tena dar ni kwa gharama zingine tena si afadhali wange kuwa wana kaa dodoma ambako kuna nyumba za wabunge ambazo hakuna kwa sasa ila ingekuwa wamehamia zingekuwepo. Ndio maana wamejengwa na mioyo na fikra finyu sana hapo uzalendo utatokea wapi kama sio kushadadia Fly overs kila kukicha zijengwe Dar hivi mgelidumisha viwanda vyetu vilivyopo nchini huko mikoani watu wange hamia leo Dar? Huko Tanga viwanda vya matunda mkonge samaki bandari usinge waona watu wakijitosa Dar na kujazana tuuu. Kanda ya Ziwa kuan Almasi,Gold,samaki na utalii leo utakua maduka machache ya sonara mwanza ila ukija Dar eti yako kibao ukiuliza wanakuambia dhahabu ya arabuni je ya Geita iko wapi aibu kweli kweli, Huko Arusha Tanzanite hii imekatiwa India na iliyo katiwa hapo arusha je?Taaabu kweli kweli, Hivyo vitu ndio maana tumewatuma wabunge wetu wakavitetee hivyo na sio kushadadia Fly Overs za Dar, Dar wao wana Bandari na Bahari ila kila kukicha ati samaki toka nje bandari ndio hiyo Uchukuzi hoi hae jamani mmmh.

My Take:

Wabunge wetu still hawajajua nini maana ya kuwa wawakilishi wa majimbo yao huko kwa wenzetu wako makini ukifanya mchezo next election watu hawasahau leo kwetu ni kushabikia budget fake imepita ndioooooo imepita ki ukweli sio wote hata wa CCM hawapendi ila vitisho nakuwa waoga kwa sababu walibebwa kweny chaguzi. Mfano waseme leo uchaguzi CCM itajikuta ina wabunge sio zaidi ya 100 bungeni wengine wote ni upinzani
 
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli
wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao
kutwa wanazungumzia daresaalam
yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...

mbunge wa mafia alivyozungumzia ishu ya uda tena kwa hasira
mwingine wa lindi alizungumzia sana police kilwa road
na mwingine wa zanzibar alizungumzia sana wasomali wa kunduchi

immekuwa kama fasheni unakuta mbunge wa kigoma mfano
lakini anasimama bungeni na kusema "mimi naishi pale kunduchi"

mimi huwa najiuliza,sasa waliowapigia kura wanajisikiaje?????????

mbona wabunge wote wanazungumzia kero za daresalaam??????????

mimi nadhani kuzungumzia Dar es salaam sio tatizo coz iko ndani ya nchi yetu. tatizo ni kusahau wapiga kura wao!
 
mkuu the boss, tofauti iko wapi na mkuu wa nchi aliyetumia jumla ya mwaka mmoja nje ya nchi katika miaka mitano na nusu ya uongozi wake?! Like daddy like son innit?!!

to wrongs do not make it right
 
Pia nilicheka wakati namsikia Filikunjombe anasema "na hili nimetumwa na wabunge wa dasslam nilisemee.........." afu akaendelea na blah blah za UDA.
Mi niwapongeze kwa uaminifu wao wa kuwakilisha wanapoishi badala ya wanaowawakilisha.
 
una uhakika Filikunjombe hakuwatetea watu wake? Acheni u cdm hapa.
 
alafu uliza au fuatilia gharama zinazotumika za pesa za walipa kodi Kujenga au kutengenza ofisi zao wilayani au mikoani .Alafu liganisha na siku wanazoepnd kwwenye hizo ofisi kusikiliza kero na maoni ya wapiga kura.

Hope CAG atawaagiza wabunge wote wawasilishe guest book za ofisi zao kujua ni siku gani walikuwa kwenye ofisi zao na wananchi wangapi waliwahudumia au kuwaskiliza. ili kuona kama kuna value for money kuwa zile ofisi za wabunge.

Inaskitisha kweli katika siku 365 za mwaka mbunge hatumii hata 25% ya siku wilayani kwake wachilia mbali hata mkoani.
Zile Posho za mileage ya mafuta wanzolipwa zinaishia bongo

Wabunge hawana na wala hawatafuti takwimu za majimbo au wialaya zao. mfano kuulizwa amaswali haya
  • Wilaya au jimbo lina shule ngapi za sekondary ,primary
  • Wilaya au jimbo lina walimu, madakari, etc wangapi
  • ikias cha cha uzalishaji wa mazao ya kilimo na biashara na mifugo
  • takwmu za mahitaji ya baidhaa kama sukari, nishati , madawa
  • GDP ya wilaya au jimbo

wote wanachukua takwimu za taifa kama ndio reflection ya sehemu wanazowakilisha wich is wrong.
 
Back
Top Bottom