|
|
Ajabu. Yeye alifuata nini huko wakati alitakiwa awe amelala. Labda na yeye anapenda kuona hiyo michezo.hivi huyu alitegemea night club akute watu wanasali?
Ajabu. Yeye alifuata nini huko wakati alitakiwa awe amelala. Labda na yeye anapenda kuona hiyo michezo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mimi Sioni Tatizo haya ni maisha binafsi kwenye night club maalum kwa shughuli hizo na hapo kuna Watu wazima....ni haki Yao ya kikatiba..
Hata Mimi nikiingia night club nachizika kikweli kwa sababu ndio mahala pake....