Wabunge wanaopoteza muda hawafai-Useless MPs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanaopoteza muda hawafai-Useless MPs

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luteni, Jul 9, 2011.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nakerwa sana na jinsi baadhi ya wabunge wanavyopoteza muda pindi wanapopewa nafasi ya kuchangia bungeni, utamsikia mbunge akizunguka zunguka bila sababu za msingi.............

  Asante sana Mh. Spika kwa kuniona angalau na mimi niweze kuchangia hoja hii.

  Kwanza kabisa nampongeza Rais wetu mpendwa Jakaya Kikwete kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo mara ya pili.

  Pili nakupongeza wewe binafsi kwa kuchaguliwa kwako kuwa Spika umeweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa spika Tanzania.

  Tatu nawapongeza wabunge wote kwa kuchaguliwa tena, hii inadhirisha kuwa wananchi bado wana imani nasi.

  Bila kusahau kujipongeza mimi binafsi kwa kuchaguliwa kwangu hii inatokana na maendeleo niliyowaletea wananchi wa jimbo langu.

  Mh. Spika nitakuwa sina fadhila kwa familia yangu hasa mai waifu wangu nisipomtaja kwa jinsi alivyokuwa bega kwa bega kufanikisha ushindi wangu.

  Mwisho Mh. Spika sintawasahau wapigakura wangu kweli wameonyesha imani kwangu najua wengi wananiangalia kwenye TV ninavochangia sasa.

  Kabla ya kuuliza swali Mh. Spika naomba nitambue uwepo wa wageni wangu waliolitembelea bunge lako tukufu leo

  Wa kwanza ni jirani yangu Mzee Mwanakijiji yeye ni mmoja wa waliofanikisha ushindi wangu hakulala usiku na mchana hadi matokeo yalipotangazwa.

  Wa pili ni binamu wangu huyu mtoto aliniambia anapenda sana kuwa mbunge ndio maana leo kaja kujifunza jinsi mjomba wake anavyochangia

  Mh. Spika najua muda wangu karibu kwisha lakini sasa nakwenda moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.

  Unajua Mh. Spika wapinzani wetu kazi yao ni kupinga kila kitu bila kujali masilahi ya taifa kwanza.........makofi kwa wabunge.........

  (Spika anaingilia kati)...............una dk moja imebaki..............Oopss..........

  Nashukuru Mh. Spika kwa taarifa yako nilikuwa na mengi sanaaaa kwa ajili ya wapiga kura wangu ila muda hautoshi

  Swali langu hivi lile daraja litaisha kabla ya kampeni za 2015?
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Huyo lazima atakuwa mbunge kutoka CCM au kwa mbali labda CUF, too-li-ki-to-to !
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ukiona hivyo hana kitu cha kuchangia anataka kuuza sura tu kwenye tv.
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahahahahahaha
   
 5. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa magamba kinyaa cjui wanamwakilisha nani?labda matumbo yao!
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaha teh teh teh te h
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mmojawapo atakuwa huyu

  [​IMG]
   
 8. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  He he heee! Na huyo amemeza dawa ya mafua!
   
 9. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Yaani Luteni upo kama wao kwa asilimia 100%, inaelekea ulihudhuria AU umedesa semina elekezi iliyofanyika pale Dodoma.....WANANIUDHI KWELIKWELI ILA BASI SINA LA KUWAFANYA
   
 10. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hhahahahha.. nimecheka sana na hii joke lakini yenye ujumbe mkubwa sana ndani yake.
   
 11. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ngisibara unaweza kufafanua.
   
 12. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,014
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahah
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Lazima aitaje nyumba ndogo vinginevyo jioni chumba atakiona kidogo.
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nafikiri anamaanisha kuwa umeandika kila kitu kinachofanana na wao kabisa pale bungeni. Luteni is a True Revolutionist.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wanakera sana na dibaji zisizokwisha
   
 16. k

  kakin Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akitoka hapo anachukua posho
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na kuwahi mnadani
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Mazungumzo ya mnadani, mmeniona nilivyokuwa nashusha leo zaidi ya Lissu wao.
   
 19. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Luteni umenifanya nivunjike mbavu hapa
  :biggrin1:

  Sasa analiulizia daraja lisimalizike ili arudi 2015 kwenye uchaguzi adai kuwa atashinikiza limaliziwe kwa hiyo wamchague tena ili ashinikize limalizwe.
  Magamba Projects za hazimaliziki mpaka Mbunge anazeeka Projects bado hazijaisha

  Akimalizahapo hao wabunge wa Magamba anapiga usingizi na kusubiria posho yake, magamba wanatafuna kodi zetu kiulaini
   
 20. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duuuuh, ni kweli mkubwa wanakera!
   
Loading...