tunajua tz ina majumbo mengi hivo wabunge wengi,inakuwaje zitto,halima,lisu nawengine wanaongea angalau mara 3/wiki,,ilihali wabunge wengine hasa ccm hawaongei kabisa wanasubiri kusaini posho,,mfano pale kagera karagwe,na kyerwa hawaongei na hawaonekani bungeni....
Ukishangaa ya musa utaona ya firauni sio huko tu nendeni kiteto,kuna malalamiko kibao mbunge wao toka achaguliwe alipata fursa ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi toka ameondoka kwenye kikao cha kwanza baada ya uteuzi hajarejea na kuongea na wananchi sijui anaakili gani..na hata hao wananchi sijui nao wanamawazo gani dhidi yake way...
lakini hata hivo wote wakitaka kuongea itawezekana kweli? wacha waongee wale wataalam wa kuchonga! wengine hawaongei lakini wanafanya vitu vikubwa vya maendeleo majimboni mwao, mfano the "HAND" kule vijiji vya musoma!:A S 2152: