Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
nimeshangaa sana kuona wabunge wengi wakiwa wanachati na simu zao na akiona wengine wanapiga meza nae anapiga... nimetazama tv kupitia azam extra ni wabunge wengi mno wanachati. Nadhani kuna umuhimu wa kupiga marufuku hii hali ndani ya bunge