This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA
Tena hilo ni limbumbumbu kweli, na niligundua ukilaza wake tangu alipokuwa mkuu wa mkoa wa manyara, huwa anapenda kutumia maguvu kuliko akili ktk maamuzi. Ona jana alivyokuwa akitokwa povu kwa jazba bila hata kuelewa anachochangia. Alinikera sana kusema kuwa muswada ukishapitishwa na kamati na kuletwa bungeni ndio sheria....kwa hiyo hata wabunge wanapochangia na kukosoa wanapoteza muda bure loooooo...its very shame kwa mtu mzima.Shekifu!
this thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.
Tena hilo ni limbumbumbu kweli, na niligundua ukilaza wake tangu alipokuwa mkuu wa mkoa wa manyara, huwa anapenda kutumia maguvu kuliko akili ktk maamuzi. Ona jana alivyokuwa akitokwa povu kwa jazba bila hata kuelewa anachochangia. Alinikera sana kusema kuwa muswada ukishapitishwa na kamati na kuletwa bungeni ndio sheria....kwa hiyo hata wabunge wanapochangia na kukosoa wanapoteza muda bure loooooo...its very shame kwa mtu mzima.
Mwingibe ni Jenista Mhagama, yaani huyu naye ni pumba tupu, analeta vijembe vya taarabu ndani ya bunge kisa kutolewa nishai na binti mdogo aliye makini kuliko yeye. Anajivunia kuwa bungeni kwa muda mefu, its fine but nini cha maana amefanya kwa manufaa ya taifa hili kwa muda wote alokuwa bungeni? Si ni wao hao ndio hupitisha madudu mengi miaka na miaka na kuwaletea maafa na maisha magumu watanzania?? Shame on her.. Sasa ndio nimejua ka nini kwa muda wote huo hata chama chake kimeshindwa kumpa japo unaibu waziri..watanzania bado tunayo safari ndefu sana kwa type ya viongozi tulionao.

This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia