Wabunge waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa wamo bungeni?

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,345
Kwa aliyewaona ama anayejua kama akina Lugora, Murad, Ndassa na Mwambalaswa wako bungeni naomba atumalizie ubishi ulioko huku mitaani kwamba wamo bungeni wanapiga posho kama kazi
 
toka wafungie kuonekana live nimekosa interest kabisa na kufuatilia siasa
 
Hao Wabunge Naamini Watakuwa Bungeni Maana Watu Wengi Wanaofikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Tuhuma Za Rushwa Hupuuza Sheria Inavyotaka Kuwa Wasiendelee Na Majukumu Yao Mpaka Shauri La Msingi Liishe.
 
Kiutawala bora hao wabunge walipaswa kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge mpaka suala lao lililoko mahakamani liishe...
 
Hivi Lugola yupo Bungeni kweli! Si anatakiwa kesho mahakama ya Musoma akajibu tuhuma au amekimbia tena.
 
Tuhuma za ufisadi na rushwa ndani ya CCM hazina nguvu, ni suala la nani mwizi zaidi, wakiwakomalia umoja wa uovu utakosa nguvu
 
Nawaona mitaani hapa dodoma, Ila sifahmu kama wanaingia bungeni ama la, ngoja nifuatilie
 
Back
Top Bottom