Wabunge wakiburudika baada ya kazi ya kulijenga taifa

Wabunge wakiburudika baada ya kazi ya kulijenga taifa

mchambakwao

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
77
Reaction score
14
404985_10150779494028620_818678619_9568329_1682452053_n.jpg
 
waache wamalizie muda wao huu wa miaka 3 then watakuja tena kutuomba kura hapo najua kila mtu atakuwa na AKILI TIMAMU
 
Jamani tuache unafiki,hii picha ilipigwa wakati wa harusi ya mtoto wa Mh J Mhagama!
 
hivi yule dogo aliyeko segerea alikua anafanya vipi

majambo na huyu Komba? sipati picha
 
Jamani tuache unafiki,hii picha ilipigwa wakati wa harusi ya mtoto wa Mh J Mhagama!
Wewe ndo mnafiki! Kwani hao sio wabunge na sio lazima iwe kwenye harusi,kwani sio kodi za wananchi walivyonenepeana?
 
Huyo mnene mnene kumbe kwenye kuburudika yuko active...akiwa anasikiliza hoja na hotuba huwa analala sana
 
[h=2]Re: Wabunge wakiburudika baada ya kazi ya kulijenga taifa lipi?[/h]Ungeandika hivi kama unekuwa na akili timau:
[h=2]Re: Wabunge wakiburudika baada ya kufanya kusanii bungeni wa kulimaliza taifa letu!!!!!![/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom