Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Sawa kabisa, na tena wale wa ATM ndiyo wasioleta maendeleo kwenye majimbo yao mpaka ufike tena uchaguzi, kabisa kabisa, wakipata ile kula/kura, tupa kule majimboni, uchaguzi ukikaribia hao na matumbo yao na kuhonga ile mbaya..Wabunge wageuzwa ATM kwa kujitakia Dodoma. Wakati wabunge wakionyesha kukerwa na kugeuzwa ATM majimboni kwao, Katibu wa Spika, Saidi Yakubu amewaeleza kuwa wao ndio chanzo hivyo wakiamua tatizo hilo litakwisha.