Wabunge wa Tanzania igeni hawa wenzenu linapokuja suala la kutetea wananchi na Taifa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Sio mnalala tuu bungeni, hamjui kupambana mnasubiri miaka 5 ipite mkawadanganye wananchi. wenzenu hivi ndio wanafanya wakiwa bungeni, hakuna kuchekeana linapo kuja swala lenye maslahi kwa taifa au kwa wananchi. Hakuna kulemba..
 

Attachments

  • 1461868970906.jpg
    1461868970906.jpg
    18.8 KB · Views: 48
  • 1461868994803.jpg
    1461868994803.jpg
    23.6 KB · Views: 39
  • 1461869010465.jpg
    1461869010465.jpg
    16.4 KB · Views: 51
  • 1461869027101.jpg
    1461869027101.jpg
    15.5 KB · Views: 48
  • 1461869042450.jpg
    1461869042450.jpg
    18.1 KB · Views: 44
  • 1461869057982.jpg
    1461869057982.jpg
    17.9 KB · Views: 46
  • 1461869072805.jpg
    1461869072805.jpg
    16.4 KB · Views: 37
  • 1461869088353.jpg
    1461869088353.jpg
    9.9 KB · Views: 49
  • 1461869107466.jpg
    1461869107466.jpg
    26.1 KB · Views: 47
  • 1461869122131.jpg
    1461869122131.jpg
    22 KB · Views: 48
  • 1461869143796.jpg
    1461869143796.jpg
    18.1 KB · Views: 61
  • 1461869160223.jpg
    1461869160223.jpg
    13.1 KB · Views: 40
  • 1461869178688.jpg
    1461869178688.jpg
    19.1 KB · Views: 47
  • 1461869194055.jpg
    1461869194055.jpg
    17.5 KB · Views: 48
  • 1461869208001.jpg
    1461869208001.jpg
    22.1 KB · Views: 70
  • 1461869221941.jpg
    1461869221941.jpg
    22.5 KB · Views: 37
  • 1461869298836.jpg
    1461869298836.jpg
    22.8 KB · Views: 35
  • 1461869316535.jpg
    1461869316535.jpg
    11.6 KB · Views: 47
Utasikia wabunge wengine wanasema eti tufanye siasa sijui za kisasa , mara sijui sa kistaraabu wakati huo huo Bunge halina visibility, mikataba wamegoma kuileta bungeni , kila kitu ovyo. Usione wameendelea, Wamepigana ngumi kwanza
 
Huku wakitoka nje tu,mnakuwa. Wa kwanza kuwaponda....Sugu amekiwasha siku ile watu mkawa wa kwanza kutuponda wanambeya eti tumechagua muhuni,watanzania wanafki sana.....
 
utamu huzaa uchungu na baadae furaha....tukifikia hatua hiyo ya wawakilishi wetu kutwangana makonde ujue tunaelekea kwenye neema ya furaha
 
...watanzania watu wa kufanya mambo gizani sana...ndio maana hata huo ubunge wengine wanautafuta kwa waganga wa kienyeji huko...dhambi ya kuficha maovu ndio inaimaliza Tz...maana wanaoifilisi nchi ni haohao wapendao kufanya mambo yao gizani...watu wakujifanya wema hadharani kumbe waporaji Mali za umma nyuma ya pazia.....wezi wengi wa Mali za umma nchi hii ni watu wachache walioaminiwa na kupewa dhamana wala si walala hoi walio wengi...
 
...watanzania watu wa kufanya mambo gizani sana...ndio maana hata huo ubunge wengine wanautafuta kwa waganga wa kienyeji huko...dhambi ya kuficha maovu ndio inaimaliza Tz...maana wanaoifilisi nchi ni haohao wapendao kufanya mambo yao gizani...watu wakujifanya wema hadharani kumbe waporaji Mali za umma nyuma ya pazia.....wezi wengi wa Mali za umma nchi hii ni watu wachache walioaminiwa na kupewa dhamana wala si walala hoi walio wengi...

Watu.wa giza.. haaa
 
Back
Top Bottom