Wabunge wa kuondolewa CHADEMA

Wabunge wa kuondolewa CHADEMA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Hawa wabunge hawana mchango wowote kwa chama
sijui walifikaje hapo walipo

Na wewe endeleza LIST........


images


images
 
huyu mwehu kweli!sugu we unamuonaje?hivi unafikiria utendaji wa mtu lazima utangazwe radioni au magazetini?uliza mbeya kianchoendelea sio unapigapiga kelekele zako!
 
mbeya na sugu...
sugu na wana mbeya...
haiitaji Mass media...
haitaji press auzishwe sura kama hao wengine....
peopleeeeezzz
 
Kwanini usiulize profesa Maji Marefu alifikaje bungeni na kwanini asiondolewe
 
Watu wengine kwa kukurupuka tu, hata simwelewi huyu.

Shibuda sio mwana CDM, hilo tunajua lakini kwa Sugu, hapo umechemka.
Na kama umetumwa, kawaambie CDM ni ngoma nzito.
 
hahahaha magamba bwana nenda mbeya ndo utajua sugu ni nani au waulize clouds watakwambia jiji la mby zinajengwa barabara za lami na mataa yanafungwa sugu for mbeya
 
Back
Top Bottom